Mgambilwa ni mntu
JF-Expert Member
- May 30, 2017
- 2,869
- 3,189
Nashukuru umeleta vitu vyenye akili. Mwenye macho haambiwi tazama but kwa kuwa sisi wengi wetu ni bongo lala, hatujawahi kutumia muda wetu kujadili mambo makubwa kama haya. Ni ngumu kusifia kitu chako hadi kikutoke lakini kingejengwa kwingine, ungesikia maneno yasiyokwisha.November 8 2016 kampuni hodhi ya rasilimali za Reli ‘RAHCO’ ilitangaza zabuni kwenye mradi wa ujenzi wa reli ya umeme kiwango cha ‘Standard Gauge’ kipande cha Morogoro-Makutopora. Kampuni ya Yapi Merkezi Insaat ve Sanayi A.S ya Uturuki ilionekana kukidhi vigezovya kiufundi na kifedha.
Leo September 28 2017 Serikali ya Tanzania imetia saini mkataba wa pili wa kujenga reli mpya ya Standard Gauge yenye uwezo wa kusafirisha mizigo ya tani MILIONI 17 kwa mwaka. Reli itakuwa inapitisha treni za umeme zenye mwendokasi wa kilomita 160 kwa saa.
Reli hii kutoka Morogoro hadi Makutupora itakua na makalavati 123 na Madaraja 243
Pia kutakua na tunnels refu zitakazopitisha treni chini ya milima kadhaa.
Tuangalie madaraja ya juu yatakayojengwa maeneo yenye barabara kwa upande wa Tanzania dhidi ya daraja lililokatiza juu ya mbuga ya wanyama ya Nairobi nchini Kenya
Tanzania View attachment 598855View attachment 598856 View attachment 598857 View attachment 598858
Kenya
View attachment 598859 View attachment 598860 View attachment 598861
Ikumbukwe Tanzania SGR yenye umeme inagharimu USD 3 million kwa kilometer moja wakati Kenya iligharimu USD 3.4 million kwa kilometer moja bila umeme.
Huyo jamaa ndio katibu mkuu wa mashabiki wa ccm, bujumbura section...kila siku huwa na sema humu immigration wa tz hovyo sana, sisi tulishamjua alivoingiaga kenya na kanzu yake anazuga zuga tu eti anaenda mombasa.Motochini ndio mrundi najua cha ukweli!!
Alijifanya ustadh na kanzu yake Mombasa wakamchuja. Hehe! Alipost hadi picha zake hapa utadhani ndo alikuwa amefika ulaya. Yaani kale kakofia ka walai hungekaona ana bonge la bichwa *****, walai yake ungedhani ni kile kijitambaa cha kichwani chake Papa mtakatifu. 😀Huyo jamaa ndio katibu mkuu wa mashabiki wa ccm, bujumbura section...kila siku huwa na sema humu immigration wa tz hovyo sana, sisi tulishamjua alivoingiaga kenya na kanzu yake anazuga zuga tu eti anaenda mombasa.
Nlimshangaa Sana huyo mrundi, anajianika humu mitandaoni huku anajua anatumia hati feki za usafiri eti yeye ni mtanzania, niliwatumiaga immigration wetu hizo information na sasa wanamlia timing tu hapo mpakani siku anaingiza pua tu, analala cello kisha ataleta mrejesho humu[emoji191]Alijifanya ustadh na kanzu yake Mombasa wakamchuja. Hehe! Alipost hadi picha zake hapa utadhani ndo alikuwa amefika ulaya. Yaani kale kakofia ka walai hungekaona ana bonge la bichwa *****, walai yake ungedhani ni kile kijitambaa cha kichwani chake Papa mtakatifu. 😀
Bahati nzuri hao ni wachache sana kati ya mamilioni wenye akili na tunaotambua hizi harakati za JPM.Nashukuru umeleta vitu vyenye akili. Mwenye macho haambiwi tazama but kwa kuwa sisi wengi wetu ni bongo lala, hatujawahi kutumia muda wetu kujadili mambo makubwa kama haya. Ni ngumu kusifia kitu chako hadi kikutoke lakini kingejengwa kwingine, ungesikia maneno yasiyokwisha.
Viongoz wa kiafrica wana matatizo "mtambuka",huyo "magu"...au "dereva wa lori",ameirudisha democrasia ya hii nchi miaka 100 nyuma!...hatukuzoea kutekana na kupigana risasi kama rwanda,its happening now,nchi inaendeshwa kwa matamko,mihimili yote ya nchi imekuwa chini ya executive,nyie angalieni kwa nje lkn hali si shwari huku,maisha ya watu yamekuwa magumu kuliko kipindi yoyote ile,tunaisoma namba kwa kirumi!kiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
Hadi Moshi ya dieselhata sgr ya tz iwe nzuri aje i will never say that ours is baaaaad!!!!!!!
Utaeleweka ukimsema Magufuli katika kubinya vyama vya siasa na uhuru wa habari, hilo kweli ni tatizo au Mapungufu ya Magufuli, lakini kwamba maisha yamekua magumu hilo ni tatizo la mtu binafsi, alichofanya Magufuli ni kupunguza ugumu wa Maisha kwa;Viongoz wa kiafrica wana matatizo "mtambuka",huyo "magu"...au "dereva wa lori",ameirudisha democrasia ya hii nchi miaka 100 nyuma!...hatukuzoea kutekana na kupigana risasi kama rwanda,its happening now,nchi inaendeshwa kwa matamko,mihimili yote ya nchi imekuwa chini ya executive,nyie angalieni kwa nje lkn hali si shwari huku,maisha ya watu yamekuwa magumu kuliko kipindi yoyote ile,tunaisoma namba kwa kirumi!
Respect kwako kakakiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
Mkuu nimekuangushia like ya unyenyekevu sasa hii ya magu je angekuwa mamvikiukweli, ni uchungu sana kusema ila hongereni watanzania heri nyie mnaletewa treni za kisasa...hata bridges naona ziko poa sana...most importantly, hamjaibiwa kama wananchi...huku kwetu, treni ni za diesel ila zimekuwa ndio bei ghali kabisa kuliko zote...SMH Mr. Magu, I respect you...sisi tunafuata nyayo za Nigeria jinsi corruption inavotutafuna...juzi tu tumeshindwa kujenga stadium zitakazotumika kwa CHAN ilhali Rwanda ili host mchezo huo vizuri kabisa...🙁🙁🙁sasa hivi tuna vuta nikuvute kati ya serikali, opposition, electroral commission na Supreme court, wakenya wanaumia kwa njaa, wengine hawana makao wanaofaa kuishi wanadamu..vijana hawana ajira.🙁🙁🙁 yaani wanasiasa wanatulet down sana...Pengine private sector ndio wanajaribu na kutuletea mijengo na hoteli za kisasa ila ni za kazi gani wakati wanasiasa wanaharibu kila kitu...🙁🙁🙁 kwa utawala wa Magu, Tanzania hii sio ile ya kale...
Muda utasemaSina uhakika kama hiki kitu kitafika mwisho, maana kila kukicha Tanzania inadaiwa madeni bado Magufuli mwenyewe akisafiri kwenda nje wanamushikilia hukohuko
Hivi huwa mnajisikia raha sana mnapo jadili mtu na kuacha mada husika!Huyo jamaa ndio katibu mkuu wa mashabiki wa ccm, bujumbura section...kila siku huwa na sema humu immigration wa tz hovyo sana, sisi tulishamjua alivoingiaga kenya na kanzu yake anazuga zuga tu eti anaenda mombasa.
Bado wapo watu watesema ya niniHiyo ikikamilika Tanzania itakua ni ulaya
Watu wanaoadhirika na awamu hii niUtaeleweka ukimsema Magufuli katika kubinya vyama vya siasa na uhuru wa habari, hilo kweli ni tatizo au Mapungufu ya Magufuli, lakini kwamba maisha yamekua magumu hilo ni tatizo la mtu binafsi, alichofanya Magufuli ni kupunguza ugumu wa Maisha kwa;
1)Kudhibiti mfumko wa bei(is the lowest in EAC)
2)Kupunguza sana rushwa nchini, hasa katika maeneo za huduma za jamii
3)Elimu kuwa bure
4)Kudhibiti bei za Petrol, Diesel, na mafuta ya taa
5)Kudhibiti upandaji wa nauli kiholela
6)kuondoa kodi nyingi kwa wakulima
7)Kutotoza kodi ya mapato katika biashara ndondogo
8)Kufuta road licence
9)kuhakikisha kunakuwa na duka la dawa la serikali katika kila hospitali kubwa ili zipatikane kwa bei nafuu
10)Kushusha gharama ya bima ya afya hadi 15,000 kwa mwaka kwa familia ya watu sita
11)Kushusha bei za pembejeo za kilimo
Haya mambo yanamaanisha kwamba, kwa kipatochako kilekile ulichokua unakipata, sasa hivi kinauwezo wa kununua bidhaa nyingi zaidi kuliko kabla ya Magu, wewe inapozungumzia ugumu wa maisha una maanisha nini?.