Tanzania seeks $ 300 million loan from Credit Suise

Mkopo wa nini tena wakati nchi hii ni tajiri na hatuna haja ya kutegemea mabwana wa ng'ambo?
 
Na bado ngojea atanyooka tuu alidhani akiwa pale kila kitu chawezekana kwamba wote waliomtangulia hawafai ila yeye ooh boy! Miaka 8 wala siyo mingi kihivyo naye atakaa bench!
 
Mbona spidi ya kukopa inaongezeka wakati tunaambiwa mapato yamekua hatuhitaji misaada tena, sasa mikopo mikubwa hiyo ya nini??
 
TRA munatuangusha bhanaaaaaaa.......Nchi tajiri hii munashindwaje kukusanya hela tukajikimu.......
 
Back
Top Bottom