Tanzania says it may draw $9.2 billion in cement investment

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Wanasema you win some, you lose some, wakati chadema wakibama pua kwa Wazungu sisi huku tunapiga kazi kwa ajili ya Tanzania yetu na watu wetu!
Tanzania yetu ya Viwanda hiiiyo, 9.2 Billion Dollars (US) Investment, dadadeki!


unnamed%2B%252890%2529.jpg


==============================================
Three companies plan to invest as much as 20 trillion shillings ($9.2 billion) in Tanzanian cement production in projects that could double the nation’s installed capacity, Trade and Industry Minister Charles Mwijage said.

The government of East Africa’s second-biggest economy, with gross domestic product of $45 billion, has infrastructure projects planned, including the $10 billion Bagamoyo port development, a $7-billion railway and a $4-billion crude oil pipeline from neighboring Uganda that will require cement.

“There are big projects which are attracting people to put cement industries here,” Mwijage said Tuesday by phone from Dar es Salaam, the commercial capital. He declined to identify the potential investors or give their timelines. “I have people now at different stages of implementing their construction, others are at application, others have secured the land, others are on financing.”

Units of HeidelbergCement AG of Germany, Jona, Switzerland-based LafargeHolcim Ltd and Afrisam Investment Holdings Ltd. of South Africa already operate in the country and have installed annual capacity of 10.3 million metric tons. Production in Tanzania is about 7.1 million tons a year, while local consumption is 4.1 million tons, according to Mwijage. The surplus is exported to neighboring countries such as the Democratic Republic of Congo

Demand for cement is expected to grow as much as 8 percent a year in the “medium-term,” London-based Exotix Partners said in an October research note. Last month, Lake Cement Ltd., a closely held Tanzanian producer, announced plans to almost quadruple capacity to 1.9 million tons by building a new plant at Bagamoyo at a cost of $150 million, according to Standard Investment Bank, the Nairobi-based lender.



Dangote Cement Plc, owned by billionaire Nigerian investor Aliko Dangote, last year commissioned a 3-million ton plant in Tanzania’s southeastern region of Mtwara. The plant stopped production last week on some technical issues that have now been fixed, spokesman Carl Franklin said in e-mailed comments.

When Dangote began production in Tanzania in February, it undercut competitors such as Tanzania Portland Cement Co. and Tanga Cement Co. by selling at about $80 per ton, compared to a national average of about $90-$100 per ton, according to Exotix.

“We expect aggressive cost management strategies from all players to protect the bottom line,” Exotix said in its note.


Source: Bloomberg.com
 
Basi sawa.... sema dah, aliyenukuliwa mwenyewe ni Kaijage... Kaijage yule yule ambae majuzi tu hapa aliyoongea kuhusu Kiwanda Cha Dangote anayajua mwenyewe na viwanda vyake 52,000!!! Manake mara makaa ya mawe... mara wanataka gas ya bure... mara ardhi; haalafu huyo huyo tena anakuja na simulizi za uwekezaji wenye thamani ya 50% ya bajeti yetu!!!
 
Mwijage anapiga sound watanzania sio investors. Hana uwezo uo. Aliyekuwa na huo uwezo ni kikwete pekee. Ndyo maana muda huu tutaishia kuona sound tu mara kiwanda cha magari, mara cha kuprocess matunda, ?mara cha mbolea. Lakini behind the scene itajulikana tu baada ya movie kuisha.
 
Mpiga sound simuamini hata kidogo, kwanza kabila lake na ana maneno mengiiiii uhalisia hakuna, tokea aseme Tz tuna viwanda 1,845, nilikosa uaminifu kwake..
 
Acha siasa mleta mada. As a great thinker you were to simply concentrate on the main story about those 3 investments.

Kuna Kitu ukisoma Between the Lines Utagundua Kitu Fulani....
Iko hivi...Nadhani Muandishi wa Hilo gazeti kateleza Sehemu Fulani pale juu kuripoti Au kanukuuu kutoka Kwa huyo aliemsikia Bila Kuchunguza kwa Kina haswa Figures!
kuwa Kuna Uwekezaji 3 Wa 20Tsh Trillions Za Cement factories Kitu ambacho Kwa Mtazamo wangu Naona Hakipo Sawa;
Baadhi ya Taarifa Pale juu inasema Kuna Uwekezaji wa Reli ya Kati 7$billions,Bandari ya Bagamoyo 10$billions Na Bomba la Mufuta la Uganda 4$billions Total Ni 21$Billions.
Kwa Uwekezaji Huo wa hizo Investment 3,Ndo kutakuwa Na Matumizi/Mahitaji makubwa ya Cement.Na Kiwanda cha Lake cement Wanataka Kuanzisha Kiwanda cha Cement Bagamoyo chenye Thamani ya 150$millions,Ila nafikiri wanasikilizia kwanza Uanzaji wa Hizo Projects.viwanda Vingine havijawekwa Wazi...
Issue ya Pili Ni Kuwa Hakuna Uwekezaji Wa Viwanda vya Cement 3 Au Hata Zaidi ambavo vinaweza Kuwa Na Thamani ya 20$Billions,Hata Kama Viwe vyoote vilivyopo Sasa vinavyozalisha havifikii Kiasi Hicho cha 20$Billions.
Angalia Taarifa ya Dangote Kuwa Ni Kiwanda Kikubwa Afrika Mashabiki Na Uwekezaji wake Ni. 500$millions.
Sasa Jiulize Hivyo Viwanda vitakavyokuja Ni vya Aina Gani??
Nafikiri Muandishi aidha aliteleza Au Ndo Alichosikia Toka Kwa Aliemsikia nae akakoripoti Kama Kilivyo.
Ahsante!
Nimeona Nichangie hayo!
Note:
1$millions=2 billion Tsh
Sasa 20$Billions ile Total ya Uwekezaji Wa Reli Bandari Na Bomba ndo nafikiri 21 Trillions Au Na Zaidi... Na ndo the main Concern Na Sio Uwekezaji wa Viwanda vya Cement Kwa Hiyo Gharama. Kwa Rate ya Sasa Hivi ya Dola.
Sio mwana mahesabu Sana wazoefu wa Namba wanaweza weka Vizuri.
 
Muda huwa haudanganyi, ukisoma hiyo taarifa imejichanganya sana. Uwekezaji kwa viwanda 3 vya cement kwa kiasi Kikubwa namna hiyo cha pesa? Hapo ndo inabidi tuanze kuingiwa na wasiwasi.

Anyway tushangilie tuu siku zisonge, oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee.

Muda ni hakimu Mzuri sana.
 
Back
Top Bottom