BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,789
- 288,013
- Thread starter
- #61
Na wakati huo huo bado unaufagilia udikteta uchwara, kudharau katiba na sheria za nchi, chuki za kutisha na vitisho kila kukicha na ukwapuzi wa pesa za rambi rambi. Sijui ni habari zipi zinazokuvutia wakati nchi inaenda mrama.
Nimekupa na like
Awamu hii navutiwa na habari za siasa kuliko zamani.