Tanzania`s future in Manji`s hands?

Mchukuaji hatua mwenyewe ni nani wakati Manji alishiriki kutoa michango ya mamilioni kuhakikisha mgombea wa mtandao anaibuka kidedea? Mafisadi wote bongo wanapeta tu hakuna wa kuwagusa au 'nchi itawaka moto'
THE BAK I KNEW!!

Hatimaye wa kuwagusa mafisadi amefika a.k.a J The baptist!
 
Nikituona tuvijana twa UKAWA tukimtetea Manji sasa hivi, na nikilinganisha na bizi threads na wadharau sana!
usishangae vijana wetu ni wavivu sana wa kusoma...ujuzi wao wanaupata saa 2 usiku kwenye taarifa za habari tu zilizoandaliwa na waandishi makanjanja.

Taratiibu wataelimika tu.
 
Mchukuaji hatua mwenyewe ni nani wakati Manji alishiriki kutoa michango ya mamilioni kuhakikisha mgombea wa mtandao anaibuka kidedea? Mafisadi wote bongo wanapeta tu hakuna wa kuwagusa au 'nchi itawaka moto'
At least this comes back that nothing personal...just the busibess
 
Mie najitambua Mkuu si rahisi kutetereka kwenye maamuzi yangu. Ndiyo sababu nilichoandika 2007 hakina tofauti na nilichokiandika 2017.
Nina wasi wasi na hii post yako...ni kama vile huamini unachokisema.
 
Nilipata mtu mmoja aliyeniambia kuwa Manji ni product kali ya Havard University yeye pamoja na Rostam Aziz. Hawa wamefundishwa entrepreneurship ya hali ya juu. Kwa hiyo kwa macho yao wanaona jinsi watanzania kwa upamoja wao walivyolala. Kwa elimu waliyopata wanaona fursa nyingi mno hapa Tanzania.

Lakini kwangu mimi ninasikitika tu kuwa hawa watu hawana hata chembe moja ya nia ya kutumia ujuzi na elimu yao kwa ajili ya nchi wanayoiita yao. ELIMU ni nini kama huitumii kwa ajili ya jamii yako??

Shame on them!!!!!!!!!!!!!!

Kwamba Manji anaoneka atashepu uchumi wa nchi na kwamba yeye ni role model mimi napinga kabisa na siko tayari kubadilishwa imani yangu.
Bill gates hakumaliza chuo kikuu.
 
Mchukuaji hatua mwenyewe ni nani wakati Manji alishiriki kutoa michango ya mamilioni kuhakikisha mgombea wa mtandao anaibuka kidedea? Mafisadi wote bongo wanapeta tu hakuna wa kuwagusa au 'nchi itawaka moto'

Nimekupa na like

Awamu hii navutiwa na habari za siasa kuliko zamani.
 
Mie najitambua Mkuu si rahisi kutetereka kwenye maamuzi yangu. Ndiyo sababu nilichoandika 2007 hakina tofauti na nilichokiandika 2017.
Nafurahi kwamba upo na magufuli kwa hili LA kumshikilia manji
 
Acha ujinga wewe! Nimeanza kuandika kuhusu fisadi Manji humu hata kabla ya dikteta uchwara kufikiria kuchukua form.

Nafurahi kwamba upo na magufuli kwa hili LA kumshikilia manji
 
Back
Top Bottom