Kamakabuzi
JF-Expert Member
- Dec 3, 2007
- 2,861
- 1,302
Duh! Yaani naona watu wanawashambulia jirani zetu,lakini ebu tujiulize imekuwaje makubaliano yamefikia hatua hii ya kusaini ndipo waziri wetu anagoma? Kwanini hatutaki mwuliza yeye na watendaji wa wizara walikuwa wapi anakuja kukurupuka hatua za mwisho? Kwanini tunataka kuficha uzembe wetu kwa uzalendo mufilisi? Waziri ambaye badala ya kufanya kazi yupo busy kusaka urais na malumbano na wanasiasa wenzake kwanini tumtetee? Tuwe serious jamani.
Yaani ukigundua tatizo dakika za mwisho ukubali kusini tu? Heri ya lawama kama hizo kuliko fedheha. hatutaki fedheha kama ya yule aliyepewa hekta 800,000.