Msolopagaz
JF-Expert Member
- Jan 29, 2014
- 461
- 212
tanzania haijitambui.kinyoka kujigeuza rangi tu. mara ni sadc MARA EAC. kama hautaji eac ondokeni, makao mkuui yaende rwanda, burundi au kwingineko. you export duty free kenya chin ya mpango wa EAC lakini kwako hutaki kufuata kanuni za eac.si mwondoke hutasikia atakayeitaja tz. A big cry baby liability in EAC.
Aipiti siku bila kuitaja Tanzania,huku hakuna mabasha km unatafuta basha wa kibongo
tiny minds think small and act stu.pid
Barabara ya Arusha-Mwanza lazima ipite! Nyie wakenya mbona hamtukomi! Kama hatutaki kitu hatukutaki! Nyie kifanyeni kivyenu under CoW....! Mbona barabara ya Nairobi-Mombasa na Arusha-Voi zote zinapita katikati ya mbuga za wanyama lakini kwa vile zinawafaidi hampayuki! Koborer waltham
View attachment 189454
Barabara ya Arusha-Mwanza lazima ipite! Nyie wakenya mbona hamtukomi! Kama hatutaki kitu hatukutaki! Nyie kifanyeni kivyenu under CoW....! Mbona barabara ya Nairobi-Mombasa na Arusha-Voi zote zinapita katikati ya mbuga za wanyama lakini kwa vile zinawafaidi hampayuki! Koborer waltham
View attachment 189454
Barabara ya Arusha-Mwanza lazima ipite! Nyie wakenya mbona hamtukomi! Kama hatutaki kitu hatukutaki! Nyie kifanyeni kivyenu under CoW....! Mbona barabara ya Nairobi-Mombasa na Arusha-Voi zote zinapita katikati ya mbuga za wanyama lakini kwa vile zinawafaidi hampayuki! Koborer waltham
View attachment 189454
Watanzania wa sasa wabembelezwe? Nyerere alipowaambia tuungane East Africa akiwa tayari hata kuachia uraisi mkamwona mjinga pamoja na kuwabembeleza kote.Mkaendekeza dharau kwa Tanzania na wanasiasa wa tanzania na watanzania kwa ujumla.Kosa lile lile mlilofanya mnaendelea nalo hadi leo.
.
Wakati ule ilikuwa rahisi sana wakenya na waganda na wanyarwanda na warundi kuwadanganya watanzania na wakadanganyika sababu kiwango cha elimu cha watu kilikuwa chini mno.Ile ilikuwa oppotunity nzuri mno kwa watu toka nchi hizo kuitumia kukubali shirikisho la kisiasa na kuhamia kila kona ya tanzania.OPPORTUNITY HAS A TIME LIMIT.Nchi hizo wakamdharau nyerere wakakataa political federation wakati ule ambalo lingetatua matatizo yote ya ajira na ardhi na makazi kwa watu wa nchi hizo ambayo wanahangaika nayo sasa hivi.
Sasa hivi sio rahisi kizazi kilichopo ni cha wale wasiomjua kenyata,obote wala nyerere .Ni kizazi cha watanzania wengi wasomi na vichaa.Kuwaburuza sio rahisi na hata ukiwabembeleza sio rahisi.Ni kizazi chenye misimamo yao mikali na ndio kizazi cha wengi wenye Tanzania.Hivyo kwenye majadiliano yoyote ndani ya EAC nchi nyingine zitarajie changamoto kali kutoka kwa watanzania.Watanzania wa sasa sio wale wa miaka ya nyerere!!!!
Na ushauri wa bure mtanzania ukimdharau siku moja yeye atakudharau milele.Hata uje uombe samahani ulie kama paka hawana tabia ya kusamehe.Hivyo wale mnaodharau watanzania mnazidi ku-complicate mambo kwenye uhusiano wa Tanzania na nchi zenu na watu wenu.
Mungiki acha dharau na matusi
SADC tuna share economic relation and blood relation. EAC tuna share economic relation and minimal blood relations. Wapi unadhani tutavutika napo!?. Tulipokua tukivuka mto Limpopo,Ruvuma Na Zambezi kupigania uhuru wa ndugu zetu wa Southern Africa,mlikua bussy mkishirikiana Na makaburu Na waingereza kuinua uchumi wenu. Those days,only south our guns were pointing. Unajua kwa nini sanamu ya askari pale 'askari monument' Dar ime point bunduki take 'South'?. That's not a coincedence!. Chunguza mtabaini. Kwa sawa tuacheni tuamue wenyewe rafiki mzuri Ni nani Na mbaya Ni nani!
small and idle mind is the devils workshop
Mzungu mweusi wa kibera punguza dharau
an empty container makes the loudest crazy noise
JokaKuu
Sielewi kwanini bado kuna mijadala kuhusu Tz na uhusiano wake na EAC. Tumezoea Tanzania kuwa "Dr. No" kwa kila kitu. Imefikia kiasi cha kuwaacha wenyewe wataibuka na chenye watapenda tuungane kuhusu.
Kwanza hili la mazingira eti kwa ajili ya wanyama, naona stakeholders wanajihangaisha, kuna siku niliona kwenye online news eti kwamba ndege la kijeshi la Qatar linatua KIA na kubeba wanyama kimagendo, yaani nchi ikiwa imefikia hadi hapo, utajadili lipi nao kuhusu wanyama na mazingira. Hii hapa https://www.jamiiforums.com/jukwaa-...wa-ndege-ya-qatar-iliwezaje-kutua-kia-10.html
eti blood relations!!!!!!!hii ni comedy kweli.haya blood relations ipo malawi au sio. Last time I checked there were tribe kutoka wakurya, maasai wajaluo all the way pande zote za kenya na tz. hakuna kaka eti anawapenda sana, nikukumbushua makao makuu ya EAC ipo Arusha na kama you do not feel the EAC vibe you are free kwenda upapendapo but EAC can not have fisi aliye pasuka msamba akifuata halufu zote mbili!!!!
Nani aondoke? Mmechanganyikiwa nini? Nyie ndio muondoke sio sie, Arusha ni Tanzania kwahiyo nyie ndio fungeni virago. Nendeni Kigali au kokote mnakoona mipango yenu itaenda vizuri. Ikiwezekana ifanyeni hiyo CoW jumuiya kamili. Halafu suala la SADC hata mpige kelele vipi hatujitoi, maana tulianzisha SADC kutokana na nyie kuvunja EAC ya kwanza. Mnachokitaka sasa ndicho mlichokuwa mnakikataa miaka ya sitini na sabini, na mjue sie sio ubao wa kujifunzia kuandika.tanzania haijitambui.kinyoka kujigeuza rangi tu. mara ni sadc MARA EAC. kama hautaji eac ondokeni, makao mkuui yaende rwanda, burundi au kwingineko. you export duty free kenya chin ya mpango wa EAC lakini kwako hutaki kufuata kanuni za eac.si mwondoke hutasikia atakayeitaja tz. A big cry baby liability in EAC.
Kwahiyo unawafahamu wakurya, wamasai na wajaluo tu? Tz kuna Wamakonde, Wanyakyusa, Wandali, Wangoni, Wanyiha na wengine kibao wanapatikana pia ktk nchi za SADC. Kwahiyo ni sawa kuwa na interaction na SADC hasa tunapoona tuna watu EAC hawako honest, wana ajenda zao zilizojificha. Mngekuwa mna uchungu na EAC si mngesaini Monetary Protocol kama tulivyofanya sie halafu ndio mtupigie kelele hizo protocols zingine.eti blood relations!!!!!!!hii ni comedy kweli.haya blood relations ipo malawi au sio. Last time I checked there were tribe kutoka wakurya, maasai wajaluo all the way pande zote za kenya na tz. hakuna kaka eti anawapenda sana, nikukumbushua makao makuu ya EAC ipo Arusha na kama you do not feel the EAC vibe you are free kwenda upapendapo but EAC can not have fisi aliye pasuka msamba akifuata halufu zote mbili!!!!