waltham
..vile vikao vya kwanza vya CoW Tanzania haikualikwa.
..during vikao hivyo, na baadaye, kulikuwa na some very negative rhetoric towards Tanzania. yaani it was as if Tanzania imefukuzwa toka ktk EAC.
..lets agree kwamba hii issue ya Cow ilikuwa mishandled. I am saying that kwasababu Tanzania tuna miradi na Uganda, Rwanda, na Burundi, lakini haina that "negative" element that CoW choose to identity with.
..kuhusu SADC, we have said time and again kwamba Tanzania ni moja kati ya waanzilishi wa organization hiyo. Majirani na ndugu zetu wa DRC, Zambia,Malawi, na Mozambique, ni wanachama wa SADC.
..Hivi mbona Tanzania hailalamiki when Kenya cuts trade deals with Ethiopia, or South Sudan? If Kenya is a member of IGAD, why can't Tanzania be a member of SADC?
..IMHO, I think it is SADC members who should complain about Tanzania being the member of EAC. First, because EAC imekuwa-established after SADC. Second, Tanzania is doing more business with EAC[read Kenya] than any of her neighbors. Please explain to me kwanini unafikiri SADC is an obstacle kwa mahusiano kati ya Tanzania na Kenya/EAC.
..Tatizo la Tanzania na EAC liko ktk masuala ya ardhi na political federation. Hata nyinyi Kenya mkiambiwa mfungue ardhi yenu na kuwa na political federation na Somalia hamtakubali.
cc
jMali,
lawmaina78