Tanzania Ranked among Africa`s top three in governance! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania Ranked among Africa`s top three in governance!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mr. Zero, Nov 15, 2007.

 1. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #1
  Nov 15, 2007
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  US ranks Tanzania among Africa`s top three in governance

  SOURCE: Guardian


  Hivi haya ni ya kweli??? Je wanatumia vigezo gani?? Wakati mali yetu inachotwa usiku na mchana, wakati skandali za Mafisadi ndiyo zinazidi kupamba moto, hivi kweli tunaweza kuiamini hii ripoti??? Au ndiyo njia yao ya kujichotea???
   
 2. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #2
  Nov 15, 2007
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  Kazi kubwa ilifanywa na Mkapa.Halafu hawa mabeberu wakikusifia ujue kuna jambo ambalo huwa negative impacts zake ni kwa mwananchi.

  Hata Dikteta Mobutu alisifiwa sana na Ufaransa.Leo hii Venezuaela na Cuba wana maendeleo makubwa mbona Us hawawasifii.Sifa zao za kizandiki zina malengo yao.

  E bwana watuachie nchi yetu kwani wametumia vipimo gani vya uhakika.
   
 3. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #3
  Nov 15, 2007
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Shilingi kila siku inaporomoka ya kenya kila kukicha inatupiga bao wao wanasema tunafanya vizuri hivi kuna unafiki mkubwa zaidi ya huu?

  Balozi wao alisema kuwa hakuna budi kushughulikia mafisadi alikuwa akimaanisha kitu gani?

  Mbona nchi zinazoendelea hazisifiwi?ama ni kwa wale wanaowauzia madini kwa bei poa ?
   
 4. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #4
  Nov 15, 2007
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Yes Sir, Yes sir ndiyo siri yake.

  Ukiwa "no sir" Nchi yako kila siku itakuwa bad governance
   
 5. Bongolander

  Bongolander JF-Expert Member

  #5
  Nov 15, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 4,882
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 135
  Kusema kweli Mkapa ameuweka uchumi wetu kwenye hali nzuri, mtu yoyote anayeufahamu uchumi lazima atakubaliana na hilo. Ukilinganisha alipoichukua nchi na alipomwachia JK unaona kabisa kuwa umechumi wa Tanzania umebadilika na unafuata sera nzuri, kama utekelezaji wake ungekuwa na mwendelezo nadhani mambo yangekuwa mazuri zaidi. Hii hata US waseme au wasiseme ukweli ni kwamba the economy was in good shape.
  Kuna jambo? yes kuna jambo kwa sababu sasa hivi Tanzania imeanza kuwa na potential ya kuwa na middle class kwa hiyo wawekezaji wameanza kuona opportunity ya kuwekeza na kuchuma pesa. Hii ni common sense.
   
 6. Mr. Zero

  Mr. Zero JF-Expert Member

  #6
  Nov 15, 2007
  Joined: Jun 5, 2007
  Messages: 9,503
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  Nafikiri labda maana ya good governance ni kuwapa ulaji. Nchi kama Botswana na Namibia ambao wanaingia mikataba 50/50, rushwa iko chini na wanajitegemea 100% kwenye bajeti yao eti bado tumewapiga bao. Huu ni kututapeli ili wajichotee dhahabu yetu. May be ndiyo sababu nchi zilizotajwa ni zile zinazozalisha Dhahabu kwa wingi Africa. Hata wakiangalia Mafanikio ya awamu ya BWM bado hatustahili hiyo ranking.
   
 7. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #7
  Nov 15, 2007
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  Labda wangeorodhesha vigezo vilivyotumika hapa ningeweza kuwaelewa na hata hivyo sijui kam kun vigezo vyovyote vya kiuchumi ambavyo vingeiweka tz top 3.

  There must be something very wrong.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Nov 15, 2007
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,691
  Likes Received: 82,584
  Trophy Points: 280
  Hawa wanataka wapewe sehemu waweke kituo chao cha kijeshi. Vinginevyo hiyo conclusion yao ni ZERO!
   
 9. S

  Semanao JF-Expert Member

  #9
  Nov 15, 2007
  Joined: Jul 25, 2007
  Messages: 208
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ukiona hivyo kweli kuna kitu wanakitaka wakianza na kutupaka mafuta kwenye mgongo wa chupa. Tafiti zao zimeshaonyesha kuwa majibu ya Dr. Watson yana ukweli hivyo watatumia hiyo tafiti kujichukulia wanachotaka,

  YES SIR.
   
 10. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #10
  Nov 15, 2007
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  But why Tanzania, Ghana ana south Africa? Gold?
   
 11. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #11
  Nov 15, 2007
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Nah....no way!! They can't be serious...
   
 12. K

  Koba JF-Expert Member

  #12
  Nov 15, 2007
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 6,144
  Likes Received: 495
  Trophy Points: 180
  ...good governance my ass,mwaka wa saba huu nafuatilia mirathi ya baba sijapata hata ndululu,kila siku file halipo oooh mara mzee fisadi wa kusign hayupo,tunasubiri report ya mwisho kazini kwake,tunaomba uje wiki ijayo tutakuwa tumemaliza oooh choroko,maharage,mbaazi..wapumbavu sana hawa!
   
 13. R

  Rwabugiri JF-Expert Member

  #13
  Nov 15, 2007
  Joined: Jul 10, 2007
  Messages: 2,777
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
   
 14. Ben Saanane

  Ben Saanane Verified User

  #14
  Nov 15, 2007
  Joined: Jan 18, 2007
  Messages: 14,603
  Likes Received: 3,692
  Trophy Points: 280
  That's why i said they must be upto something? Waache mchezo wao wa kizandiki,good governance ili hali ufisadi una Mizizi.

  This guy's must must be crazy na mtu mwenye akili alienda shule akakubaliana nao basi Mzimu wa Chifu Mangungo bado unatuandama.
   
 15. D

  DAR si LAMU JF-Expert Member

  #15
  Nov 15, 2007
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 2,942
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  ..kuna usemi wa vijana unasema hivi "ukitaka kumpata binti,msifie!"
   
 16. Mtu Mzima

  Mtu Mzima JF-Expert Member

  #16
  Nov 16, 2007
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wameshajua Wadanganyika wanapenda sifa za kijinga ndo maana wanaanza kupaka mafuta kulainisha kidogo kabla hawajaanza kubandua ki-ulaini.
   
Loading...