Bugucha
JF-Expert Member
- Jan 3, 2020
- 2,990
- 12,398
Nani alikwambia kwamba hatukusanyi kodi?sisi hatutegemei fine za mifugo kuendesha mchi yetu,tuna madini na rasilimali za kutosha,mbona nchi zingime hazilalamiki Bali ninyi wakenya tu?hii sheria ni ya kulinda maslahi ya nchi yetu,unaposema tumeenda international, kwani tumeitungia nchi za nje,ww huna akili,kwa hiyo TZ ni international grazing land?anyway weka comparison ya deni la Kenya na TZ,ss hatujawahi kukopa deni kulipa deni.nawaambia awamu hii mtalimia meno.hata mimi nimepiga mahesabu kwa sheria hii niKa0na ni upuuzi mtupu na kukosa akili. sasa mumeshindwa kukusanya pesa za ''ndani kwa ndani'' (au hata pengine hakuna) mukaamua kuenda international, sio?
sheria hii imekaa ki-ukomoaji zaidi....
lipeni madeni yenu ya ndege taratibu muwache zulma.