Tanzania proposes law to bar foreigners from grazing land

Geza Ulole

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
58,771
78,446
Tanzania proposes law to bar foreigners from grazing land
SUNDAY MARCH 1 2020

In Tanzania's proposed law, cattle are in a category of animals that attract higher fines for violating grazing laws. PHOTO | FILE | NMG

In Summary
  • The Bill is set for a second reading when Parliament resumes its sittings in April.
  • Effective implementation of such laws would be difficult, given the cultural ties between tribes that share borders like the Maasai and Kuria.

By BOB KARASHANI
More by this Author
Tanzania's Parliament is mulling a review of the grazing land law blocking livestock from crossing borders to feed, in a move that could see neighbouring pastoral communities pay hefty fines whenever their herds breach the common borderline.

“A person shall not move an animal into mainland Tanzania for the purposes of grazing or accessing water,” states one of the clauses in proposed amendments to the Grazing Land and Animal Feed Resources Act.

Violators of the new law will be liable to minimum fines of Tsh20,000 ($8.70) and Tsh100,000 ($43.50) per animal, depending on the type of herd involved. Cattle, donkeys, horses and water buffalos are cited in the more expensive category; goats, pigs and “such other animals” in the other.

“Where a person fails to pay the fine within seven days the court may, in addition to any other penalty that may be imposed, order confiscation of the animals in respect of which the offence was committed, and all animals confiscated shall be disposed of in the manner which the court directs,” the proposed law states.

In his statement on reasons for the proposed law change which forms part of the Written Laws (Miscellaneous Amendments) Act 2020, Attorney General Adelardus Kilangi said that it is aimed at, among other things, "restricting entry of animals from outside Tanzania with a view to protecting grazing land resources."

#The Bill is set for a second reading when Parliament resumes its sittings in April.

Effective implementation of such laws would be difficult, given the cultural ties between tribes that share borders like the Maasai and Kuria.

"This (proposed) law is a stand-alone and does regional integration no favours. The fashioners of this law took no consideration that illegalizing something is one thing – implementing is another," said Nick Oyoo Kasera, a social analyst.

According to former Tanzanian government law draftsman Florian Rutahindurwa, the promulgators of the proposed law were likely seeking to "curb mischief like cross-border cattle rustling and gun crime triggered by pastoral conflicts."

Tanzania proposes law to bar foreigners from grazing land

MY TAKE
Mbona mnalalamikia Tanzania kuamua ku-protect her game reserves wakati mnazuia Al Shabaab ku-roam free up North?

BTW tunajenga na TPDF base pia

Hata mimi nimeshangaa sana, sheria hii ni kwa ajili ya matumizi yetu humu humu nchini, vipi iwe ni habari katika nchi ya jirani?. Sikumbuki hata siku moja kusoma au kusikia chombo chochote cha Tanzania kutangaza kuhusu sheria za Kenya zinazohusu sheria za matumizi bora ya ardhi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ukiwa na jirani choko hata ukiwa una-shave ndevu au unapiga mswaki na mashine atafikiri unatumia vibrator yake! Mi nimependa hii sheria nawangoja violaters waje!
 
kumbe ni Giza Ulole
Sijui cha ajabu ni ni hapo? Uanahabari wa wakenya ambao wamebobea kwenye taaluma yao hio au habari za sheria zao ambayo ni biashara zao wao wenyewe? Wafugaji kutoka Tz wanakamatwa kila mwaka ndani ya mbuga la Tsavo, ila hio kwa wakenya sio issue ya kujipiga vifua. Sheria zipo na wafugaji ni wale wale na tabia zao zinafanana kote duniani. Kwa mfano kuna hawa wafugaji 18 kutoka Tz na mifugo yao 2,500 ambao walikamatwa wakizilisha ndani ya mbuga ya Tsavo West, Kenya. https://allafrica.com/stories/201411170308.html
 
Kwanini jambo linalohusu Tanzania kupanga sheria zake zinazohusu ndani ya mipaka yake, ambazo haziwadhuru wageni kwa hali yoyote ile iandikwe katika vyombo vya habari vya nchi ya nje tena kwa urefu?, hivi sheria ya matumizi bora ya ardhi ya Tanzania inawahusu vipi wakenya?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimependa hii sheria,anyway, kwani kuria na maasai wanahusikaje hapa?kwa sababu,hakuna ambapo imezuia MTU kutembelea mwenzake,mm ni mkuria,na kwetu ni mpakani na Kenya, hakuna mkenya anaezuiwa kuingia TZ,anapofuata utaratibu.mnalalamika kwa sababu mlifikiri TZ ni shamba ka bibi.nimepiga mahesabu kwa sheria hii tutapata pesa nyingi mkijichanganya mkaingia kichwakichwa!imewauma.
 
Hata mimi nimeshangaa sana, sheria hii ni kwa ajili ya matumizi yetu humu humu nchini, vipi iwe ni habari katika nchi ya jirani?. Sikumbuki hata siku moja kusoma au kusikia chombo chochote cha Tanzania kutangaza kuhusu sheria za Kenya zinazohusu sheria za matumizi bora ya ardhi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unashangaa media za jirani yako kenya kutangaza ila hushangai BBC au CNN zikitangaza mambo ya Tanzania...

Tumia akili vizuri, BBC haiwezi kutangaza kuhusu sheria za nchi kuhusu matumizi yao ya ardhi, hivyo ni vyombo vya kimataifa lazima habari iwe kwa na uhusiano na mataifa mengine, mfano ni kama nchi inapanga sheria inayokiuka sheria za kimataifa, japo ni sheria inayohusu ndani ya nchi, lakini inagusa mikataba ya kimataifa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimeshangaa sana, sheria hii ni kwa ajili ya matumizi yetu humu humu nchini, vipi iwe ni habari katika nchi ya jirani?. Sikumbuki hata siku moja kusoma au kusikia chombo chochote cha Tanzania kutangaza kuhusu sheria za Kenya zinazohusu sheria za matumizi bora ya ardhi yao.

Sent using Jamii Forums mobile app
The EastAfrican ni regional newspaper, inaandika kazi wanahabari kutoka EAC na inawapatia creative freedom ya kuandika habari za nchi wanazoishi alafu wanatuma hizo habari kwa the eastAfrican, Wanahabari wanalipwa kulingana na kama wanatuma ripotin ngapi kwa tovuti... Alieandika hio habari ni BOB KARASHANI ambaye ni mtanzania anaeishi Tanzania! Hakulazimishwa na mtu kwahivyo usiingize Kenya hapo!
 
Unashangaa media za jirani yako kenya kutangaza ila hushangai BBC au CNN zikitangaza mambo ya Tanzania...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah, safi sana jibu lako lime'toklezea' saaana. Umenifanya nikumbuke ile mijadala ambayo tulikuwa tunafanya tukiwa shuleni. Hoja zilikuwa simpo sana, k.m. Nani bora, mama au baba? Ila tulikuwa tunashambuliana kwa point kali kali alafu kila upande ulikuwa na majemadari wao kama wewe. Nilikuwa member wa club ya mijadala lakini enzi hizo mimi walikuwa wananieka kwenye backbench kama msindizikaji. Kwasababu nilikuwa napoteza focus na napandwa na hamaki za fasta fasta, wenzetu wa upande wa pili wakipinga hoja zangu kwa point nzito nzito. Kama tu huyo jamaa uliyemjibu.
 
The EastAfrican ni regional newspaper, inaandika kazi wanahabari kutoka EAC na inawapatia creative freedom ya kuandika habari za nchi wanazoishi alafu wanatuma hizo habari kwa the eastAfrican, Wanahabari wanalipwa kulingana na kama wanatuma ripotin ngapi kwa tovuti... Alieandika hio habari ni BOB KARASHANI ambaye ni mtanzania anaeishi Tanzania! Hakulazimishwa na mtu kwahivyo usiingize Kenya hapo!
Kumbe ni mtanzania mwenzao. Utawajua tu wale ambao hawajasoma hata sentensi moja ya taarifa hiyo, wanasema jamaa analalamika. Sijui inakuwaje ripota au mwandishi akiandika taarifa kuhusu tukio flani inasemekana kwamba analialia? Wakati jamaa yupo kazini akiendeleza taaluma yake, ni ukichaa flani hivi wa sayari nyingine.
 
Huwa wakati mwengine tunalazimika kunyamaza kwasababu tunawajua ninyi mlivyo na akili ndogo, muulize akupe ushahidi kama huyo jamaa ni mtanzania, kwa jinsi hiyo habari ilivyoandikwa, 80% chance" huyo jamaa ni mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa wakati mwengine tunalazimika kunyamaza kwasababu tunawajua ninyi mlivyo na akili ndogo, muulize akupe ushahidi kama huyo jamaa ni mtanzania, kwa jinsi hiyo habari ilivyoandikwa, 80% chance" huyo jamaa ni mkenya

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa akili kubwa, kama upo LinkedIn fanya search uone kama sio mwanahabari kutoka Tz. Media Solutions Ltd- Tz.
 
Sijui cha ajabu ni ni hapo? Uanahabari wa wakenya ambao wamebobea kwenye taaluma yao hio au habari za sheria zao ambayo ni biashara zao wao wenyewe? Wafugaji kutoka Tz wanakamatwa kila mwaka ndani ya mbuga la Tsavo, ila hio kwa wakenya sio issue ya kujipiga vifua. Sheria zipo na wafugaji ni wale wale na tabia zao zinafanana kote duniani. Kwa mfano kuna hawa wafugaji 18 kutoka Tz na mifugo yao 2,500 ambao walikamatwa wakizilisha ndani ya mbuga ya Tsavo West, Kenya. https://allafrica.com/stories/201411170308.html
sasa unalalamika nn? kama unajua sheria ni kitu cha kawaida?
 
mnalalamika kwa sababu mlifikiri TZ ni shamba ka bibi.nimepiga mahesabu kwa sheria hii tutapata pesa nyingi mkijichanganya mkaingia kichwakichwa!imewauma.
hata mimi nimepiga mahesabu kwa sheria hii niKa0na ni upuuzi mtupu na kukosa akili. sasa mumeshindwa kukusanya pesa za ''ndani kwa ndani'' (au hata pengine hakuna) mukaamua kuenda international, sio?
sheria hii imekaa ki-ukomoaji zaidi....
lipeni madeni yenu ya ndege taratibu muwache zulma.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom