Australia's Key Petroleum upbeat on Tanzania
DAR ES SALAAM, Feb 5 (Reuters) - Australia's Key Petroleum Ltd said on Thursday its West Songo Songo licence in Tanzania had the potential to produce 735 million barrels of oil or 1.3 trillion cubic feet of gas.
The West Songo Songo area is between the already-producing Songo Songo gas field and the east African country's coastline. Key Petroleum is also developing a nearby field at Nyuni.
"Exploration and development work is rapidly increasing the value of these areas which form a significant part of Key Petroleum's international asset portfolio," the company said in a statement.
"The geological work that our team has been undertaking has provided us with some highly prospective targets in the West Songo Songo licence area," said Managing Director Ken Russell.
"Although at an early stage of evaluation these results provide us with a greater level of confidence in our Tanzanian interest," he said.
....gas kibao lakini hata umeme wenyewe hatuna,gold kibao lakini njaa ndio imeongezeka,sasa mafuta sijui yatasaidia nini?
Yataongeza 'wachukuaji' wakati Watanzania wengi wakiendelea kulala hoi na kuamka taabani. Na mafisadi ndiyo watazidi kukenua gego mpaka gego maana wanawza kusaini mkataba wa Tanzania kupata 1% na iliyobaki ikachukuliwa na 'wachukuaji'.
NAdhanoi kwa hali iliyopo inabidi JK awe makini mno vinginevyo yanaweza yakaja ya Delta Niger watu kulipua mamboa ya mafuta.
Ni her JK akubali lawama kuliko fedhaya kuiweka nchi kwenye kamtego ka mabomu ya petroli.
Fundi wacha utani Bwana. Wewe ni msomi na unajua siku zote Unapotaja Tanzania Unamaana Tanzania Bara. Kwa hiyo ndiyo maana na sisi tunashadidia Zanzibar kumaanaisha Visiwa vyetu viwili pale tunapotaka kujieleza bila ya kuwamo Bara. Fanya reference si kuna Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ( ambayo ndio Bara au Tanganyika -ukitaka) na kuna Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Two entities- hakuna ya tatu hapo. Fundi -analysis isikupige chenga Ndugu yangu- tena wakati huu.Hawa nao! Kwa nini wasiseme Tanzania bara badala ya Tanzania?
Hawa nao! Kwa nini wasiseme Tanzania bara badala ya Tanzania?
Yataongeza 'wachukuaji' wakati Watanzania wengi wakiendelea kulala hoi na kuamka taabani. Na mafisadi ndiyo watazidi kukenua gego mpaka gego maana wanawza kusaini mkataba wa Tanzania kupata 1% na iliyobaki ikachukuliwa na 'wachukuaji'.
Wakulu mimi naona JK hii biashara ya mafuta haiwezi atuachie tutakaempata mwingine maybe ataimudu. Kwasababu sera zake kuu zitakuwa kama za Obama ''Economic stimulus''. Hii nikwa sababu JK atakuwa ashaufikisha uchumi wa Tanzania unyayoni kwani sasa upo magotini.
Nimefurahishwa na kauli kuwa ''siwaseme Tanzania bara badala ya Tanzania'' ha ha ha hawa ndugu zetu Zenji wanatakiwa waache ubinafsi kama tumekubali muungano basi vyote vyetu sio kutenga vitu muhimu kutoingia kwenye muungano.
Well, Kuna anayefahamu mkataba kati ya Serikali na hii Kampuni ya "Australia's Key Petroleum Ltd." unasemaje? Kama Reuters walivyomnukuu kiongozi wa hii kampuni, inaonesha walishakabidhiwa kila kitu. Na nadhani, Serikali huwa haiwalipi/ haina uwezo wa kuyalipa haya makampuni yanayofanya "oil/mineral prospecting". So, huwa yanafanya hiyo kazi "at their own risk" or else, in anticipation of lucrative deal when they strike oil. I doubt if the Government own more than 10% of the whole deal.
I stand to be corrected!