Tanzania postal bank

Tanzania postal bank

BHOOKE SIKUJUA

New Member
Joined
Sep 20, 2013
Posts
4
Reaction score
1
Jamani mwenye taarifa au majibu ya interview tuliyofanya TPB ya Sales officer , please anijuze
 
Yap bhooke tujuze wadau wanatoa maswali ya aina gani kama ni aptitude test ama ndo tuna rudishwa darasani..
 
Ndugu BHOOKE,Ulijulishwa ndani ya siku saba kwa usahili?maana walisema watajulishwa ndani ya siku saba after deadline.Kama kuna yeyote anayefahamu nafasi za credit risk officers kama wameshaitwa!
 
If you don't here from us by ....., Consider yourself unsuccessful. Lakini tusikate tamaa
 
Back
Top Bottom