mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,629 May 22, 2012 #1 Naomba mwenye fomu ile ya ku update customer details ya benki hii anirushie humu. kama una link nitafurahi pia. Nimeingia website yao inasema ipo under construction. Nashukuru.
Naomba mwenye fomu ile ya ku update customer details ya benki hii anirushie humu. kama una link nitafurahi pia. Nimeingia website yao inasema ipo under construction. Nashukuru.
mizambwa JF-Expert Member Joined Oct 8, 2008 Posts 4,421 Reaction score 1,792 May 22, 2012 #2 Muda wa mwisho uliongezwa na BOT. HIvyo usiwe na haraka tembelea TPB Branch wakati wowote ili uhudumiwe, Website yao ndio imelala usingizi unafikiri utafanyaje hapo?? MIZAMBWA NABII MTARAJIWA!!!
Muda wa mwisho uliongezwa na BOT. HIvyo usiwe na haraka tembelea TPB Branch wakati wowote ili uhudumiwe, Website yao ndio imelala usingizi unafikiri utafanyaje hapo?? MIZAMBWA NABII MTARAJIWA!!!
mzurimie JF-Expert Member Joined Oct 16, 2011 Posts 6,143 Reaction score 3,629 May 22, 2012 Thread starter #3 mizambwa said: Muda wa mwisho uliongezwa na BOT. HIvyo usiwe na haraka tembelea TPB Branch wakati wowote ili uhudumiwe, Website yao ndio imelala usingizi unafikiri utafanyaje hapo?? MIZAMBWA NABII MTARAJIWA!!! Click to expand... Nimeuliza hivi kwanini hukufikiria kuwa mtu hawezi kufika kwenye benki hiyo? humu watu wanaweza kuwa nazo na ndo nimeuliza. OK?
mizambwa said: Muda wa mwisho uliongezwa na BOT. HIvyo usiwe na haraka tembelea TPB Branch wakati wowote ili uhudumiwe, Website yao ndio imelala usingizi unafikiri utafanyaje hapo?? MIZAMBWA NABII MTARAJIWA!!! Click to expand... Nimeuliza hivi kwanini hukufikiria kuwa mtu hawezi kufika kwenye benki hiyo? humu watu wanaweza kuwa nazo na ndo nimeuliza. OK?