Tanzania Postal Bank job vacancies..

Tanzania Postal Bank job vacancies..

winky

Senior Member
Joined
May 8, 2013
Posts
140
Reaction score
111
habari, wanajf naomba msaada kwa yeyote alieapply tanzania postal bank hizo email zimeenda..me nimetuma saana ila zinakataa kabisa.. narudishiwa email kuwa zimekataa..msaaada!!
 
Tuwekee link hapa kwanza ndo tutajaribu kuapply.

Tangazo uokote huko msaada uje uombe humu, na sisi pia tunauhitaji wa hizzo nafasi mkuu winky
 
Last edited by a moderator:
jamani tuwe tuna ambizana hizo nafasi tunahitaji pia maana kitaa jua kali sana
 
habari, wanajf naomba msaada kwa yeyote alieapply tanzania postal bank hizo email zimeenda..me nimetuma saana ila zinakataa kabisa.. narudishiwa email kuwa zimekataa..msaaada!!

Ile ya recruitment@ ilikubari lakini ile ya hrmanager@ iligoma
 
kama ulikua unataka kwa nin na ww usiende kuokota hukoo??
 
Yani teller ndo wanahitaji mtu na bachelor yake.......elimu za bongo bhana.
 
jaman naomben msaada wa kujua ni nafac gan na hw 2 apply wengne cmu ye2 hazifungui hyo link
 
jaman naomben msaada wa kujua ni nafac gan na hw 2 apply wengne cmu ye2 hazifungui hyo link

kuna credit risk officer, bank operations na za IT kama sikosei.. nenda google fungua tanzania postal bank halaf careers utaikuta..
 
Kwani kuna tatizo kuwapa wenzako information?...kaaz kweli!

hapana shida yy kanijibu vibaya. me nimeomba msaada ananishushua wakati anashida ya kujua vile vile.. ndo hawa wanamtukana Mamba hawajavuka mto..
 
hapana shida yy kanijibu vibaya. me nimeomba msaada ananishushua wakati anashida ya kujua vile vile.. ndo hawa wanamtukana Mamba hawajavuka mto..

Hahahhaaa...!
 
habari, wanajf naomba msaada
kwa yeyote alieapply tanzania postal bank hizo email zimeenda..me
nimetuma saana ila zinakataa kabisa.. narudishiwa email kuwa
zimekataa..msaaada!!

andika vizuri hiyo email ukiongeza hata nukta itagoma tu.
 
Back
Top Bottom