F FRESHMAN JF-Expert Member Joined Sep 29, 2011 Posts 9,437 Reaction score 35,964 Dec 13, 2017 #61 diamond plutnumz ndio To wetu wa ukweli.. kila kukicha vijana wanashinda ofisini kwa Wasafi kuomba ajira...
diamond plutnumz ndio To wetu wa ukweli.. kila kukicha vijana wanashinda ofisini kwa Wasafi kuomba ajira...
kichakaa man JF-Expert Member Joined Oct 20, 2011 Posts 5,497 Reaction score 5,186 Dec 13, 2017 #62 Alola said: Nchi kama USA wanajua kuwatumia vizuri sana hawa jamaa. Unawapa nyanga complex kwelikweli ambazo mtu wa kawaida hazimtoshi. Click to expand... Live mkuu
Alola said: Nchi kama USA wanajua kuwatumia vizuri sana hawa jamaa. Unawapa nyanga complex kwelikweli ambazo mtu wa kawaida hazimtoshi. Click to expand... Live mkuu
bro kay JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 249 Reaction score 222 Jul 30, 2018 #63 Padri Mcharo said: Unamaanisha Rodrick John Kayombo?? Alikua T.O kwani!!! Click to expand... Rodrick John Kayombo nmesoma nae UDSM Computer science class of 2016...jamaa alikua anajua sana. Yupo KPMG asa hivi
Padri Mcharo said: Unamaanisha Rodrick John Kayombo?? Alikua T.O kwani!!! Click to expand... Rodrick John Kayombo nmesoma nae UDSM Computer science class of 2016...jamaa alikua anajua sana. Yupo KPMG asa hivi
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 2,098 Reaction score 3,990 Jul 30, 2018 #64 CCNP Engineer said: Wagonga Four utawajua tu. Sizitaki Mbichi hizi. Click to expand... Ila art.
MAHENDEKA JF-Expert Member Joined Jul 9, 2010 Posts 340 Reaction score 181 Oct 22, 2018 #65 Chum Kane said: Kuna ilborian MOSES MWIZARUBI T.O 2003 na 2005,sasa ni lecturer pale IAA,jamaa ni LEGENDARY asee. Click to expand... Huyu jamaa kweli alikua balaa alikua TO olevel na advance
Chum Kane said: Kuna ilborian MOSES MWIZARUBI T.O 2003 na 2005,sasa ni lecturer pale IAA,jamaa ni LEGENDARY asee. Click to expand... Huyu jamaa kweli alikua balaa alikua TO olevel na advance
heavyload JF-Expert Member Joined Jan 22, 2017 Posts 925 Reaction score 528 Oct 22, 2018 #66 Japan ni nchi ambayo mwanafunzi hufanya mtihani baada ya miaka minne tangu kuanza masomo kupisha ubunifu,uwezo wa akili kufanya mambo mapya. Huko kwenu mnapiwa uwezo wa kukariri yaliyoandikwa ndo maana umaskini hauishi
Japan ni nchi ambayo mwanafunzi hufanya mtihani baada ya miaka minne tangu kuanza masomo kupisha ubunifu,uwezo wa akili kufanya mambo mapya. Huko kwenu mnapiwa uwezo wa kukariri yaliyoandikwa ndo maana umaskini hauishi