mchapafito
JF-Expert Member
- Oct 16, 2013
- 607
- 302
salam zenu wakuu!.nimejaribu kutafuta historia ya wanafunzi bora(wa kwanza) au tanzania one hapa tanzania kwa kidato cha sita lakin sikufanikiwa kupata.
Naomba kwa yeyote mwenye historia ya mwanafunzi bora tanzania awasilishe kwenye uzi huu kwa kuzingatia vipengele vifuatavyo,
(a)mwaka aliohitimu kidato cha sita mwanafunzi huyo
(b)division
(c)wastani kwa ujumla wa masomo yote aliyofanyia mtihani
(d)shule aliyohitimu kidato cha nne na cha sita.
kuzungusha kuko kwingi, kama unamaanisha kuzungushia mkanda kiunoni basi hujakosea nishazungusha sana mkanda katika kusoma kwangu sijawahi faulu sana wala kufeli sana, ila kila wanapoenda waliofaulu sana nami niko nao
kwa hyo ulikua huamini kama ni kweli kaenda kusoma uholanzi mpaka ukaenda kumuulza au?
Kuna ilborian MOSES MWIZARUBI T.O 2003 na 2005,sasa ni lecturer pale IAA,jamaa ni LEGENDARY asee.
sawa bhana T.O mzee wa HarvardMmenitaja sana kwenye comment zenu..nashkuru sana kwa kuwa bado mnakumbuka mambo niliyofanya miaka kadhaa nyuma.
Naona mshaanza kutambua uwepo wangu Harvard na mchango wangu jf na kwa taifa kwa ujumla.sawa bhana T.O mzee wa Harvard
mkuu ule uzi ulioahidi kuanzisha vp?Naona mshaanza kutambua uwepo wangu Harvard na mchango wangu jf na kwa taifa kwa ujumla.
Mgeni Makambi yupo Mbeya University anafundishaFrank Shega T.O 2009 tabora boys.
Mgeni Makambi T. O 2007 Tabora boys.
Omary Zuberi T. O 2006 Tabora boys.
Wote hao walikua PCM.
Mkuu huyo shega tulisoma nae pale iyunga darasa na wote tulikuwa tuna kaa bweni moja la amri abeid mwenye kufahsmu alipo anijuze. Alikuwa kilaza wa ngeli balaa nakumbuka siku moja aliambiwa atoe speech akashindwa kwa hiyo academic prefect wetu emanueli urasa akamwambia basi kwa kuwa huwezi hilo basi badilisha neno hili liwe kiingereza "kijana amepamba moto" shega akasema kijana ni ki yesterday, amepamba ni amecotom, moto ni fire, kumbe akaunganisha akasema. Kiyesterday amecoton fire. Nilicheka saana. Nimekumbuka mbali iseeFrank Shega T.O 2009 tabora boys.
Mgeni Makambi T. O 2007 Tabora boys.
Omary Zuberi T. O 2006 Tabora boys.
Wote hao walikua PCM.
Frank Shega T.O 2009 tabora boys.
Mgeni Makambi T. O 2007 Tabora boys.
Omary Zuberi T. O 2006 Tabora boys.
Wote hao walikua PCM.
Huyu dogo nampata sana alisoma na mdogo wangu pale mzumbe advance wanasema alikuwa matata sana aiseeGwamaka Njobero wa pili kitaifa-Mzumbe 2009 olev na wanane adv Mzumbe 2012