Tanzania now catches up with Kenya in infrastructure projects

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Oct 18, 2015
1,704
2,363
images.jpeg

The Africa Construction Trends Report (2019) by Consultancy firm Deloitte released in January, shows that both Kenya and Tanzania recorded g 51 projects in 2019. Tanzania’s total share of projects by value is 41.2% (US$60.3bn), making it the largest contributor
towards East Africa’s total project value.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii ni kweli kabisa $60.3bn zimeingizwa kwenye uchumi, matokeo yake tutakuja kuyaona 2023 huko.
Ukiondoa project mbili ambazo ni ''project hewa'' ($40b) tunabaki na $20b.
Likong’o–Mjinga LNG project $30b (2022 - 2028)
Bagamoyo Port $10b (1999 - tuta, tuta, tuta... b.s)
Kwa uchumi wetu kiduchu kama piriton, Tanzania bado sana hatuwezi kutunisha misuli mbele ya Kenya na Ethiopia.... Tanzania bado saana tu.
 
Hii ni kweli kabisa $60.3bn zimeingizwa kwenye uchumi, matokeo yake tutakuja kuyaona 2023 huko.
Hehe apart from sgr,stng.george(hydro) ni mradi mwingine gani umepita $1bn?? Miradi ambayo iko u/c Tanzania haiwezi pita $10bn kama unabisha twende kazi tukihesabu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hehe apart from sgr,stng.george(hydro) ni mradi mwingine gani umepita $1bn?? Miradi ambayo iko u/c Tanzania haiwezi pita $10bn kama unabisha twende kazi tukihesabu...

Sent using Jamii Forums mobile app
- Bandari (Dar, Mtwara, Kigoma, Katavi)
- Meli mpya (Ziwa Victoria na Nyasa) na uboreshaji wa zile za zamani
- Hospitali 97 na zahanati 350 pamoja na vifaa (MRI, CT scan n.k)
- Ndege 11 (Dreamliner, Airbus etc)
- Maji (mf. kuvutwa kutoka ziwa victoria kwenda Tabora na miradi mingine ya maji nchi nzima)
- Rada nne (Dar, Kilimanjaro, Songwe, Mwanza)
- Ujenzi wa Mahakama nchi nzima
- Barabara ( Nchi nzima)
- Ubungo interchange,
- Ukarabati wa reli ya zamani (MGR)
etc
 
Kenya zaidi ya Lamu Port ambapo serikali yenu ilitoa $500M, na SGR ambapo sasa hivi mradi umesimama hakuna pesa, tajeni ni mradi gani ambao upo U/C wenye thamani ya zaidi ya $500M
Sote tunajua SGR yenu imekwama ns bado km100 zimewashinda.
 
Hehe apart from sgr,stng.george(hydro) ni mradi mwingine gani umepita $1bn?? Miradi ambayo iko u/c Tanzania haiwezi pita $10bn kama unabisha twende kazi tukihesabu...

Sent using Jamii Forums mobile app
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M

Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
 
- Bandari (Dar, Mtwara, Kigoma, Katavi)
- Meli mpya (Ziwa Victoria na Nyasa) na uboreshaji wa zile za zamani
- Hospitali 97 na zahanati 350 pamoja na vifaa (MRI, CT scan n.k)
- Ndege 11 (Dreamliner, Airbus etc)
- Maji (mf. kuvutwa kutoka ziwa victoria kwenda Tabora na miradi mingine ya maji nchi nzima)
- Rada nne (Dar, Kilimanjaro, Songwe, Mwanza)
- Ujenzi wa Mahakama nchi nzima
- Barabara ( Nchi nzima)
- Ubungo interchange,
- Ukarabati wa reli ya zamani (MGR)
etc
Kwani tz huwa nyuma aje? Interchange moja imewashinda kumaliza ilhali hapa Kenya zipo Kila Kona ya Nchi...Mambo ya interchange tunawachia tz ikabiliane na Nakuru.

Mahakama Tz hamna ispokuwa Dar?

Barabara Nchi Nzima na mlituambia Nchi Nzima ni lami to 😂😂

Ndege zinazokamatwa ovyo kwa madeni Hadi haziruki kwa "tuliowakomboa" Yani mabwana zenu waliokuwa wanaombwa msaada wa madawati na gererali/mtume yohana mbenge mapadlocks.

Hio miradi mingine ni hewa zaidi kuliko hio nyingine uliotaja.
 
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M

Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.
Miradi yote umetaja inangoja mkopo was world Bank iweze kuzinduliwa Tena.
 
1)Hydroelectric dam $3B
2)SGR $3.2B
3)BRT $160B
4)Salender bridge $360M
5)Ujenzi wa Meli na Chelezo $150M
6)Daraja la Busisi $400M
7)Ndege za ATCL $670M
8)Ujenzi wa rada 4 za kuongoza ndege $70M
9)Ubungo interchange $90M
10)Ukarabati wa Airpits 10 $275M
11)Dar-Kibaha Supper high $60M
Total =$8.3M

Leteni projects zenu U/C jumla zinazozidi $2B. Kumbuka kwamba SGR yenu haipo U/C kwasasa, ujenzi umesimama hakuna pesa kwa wakati huu.

Proof (if ever anyone needed one), kuwa mtu hawezi kuwa apologetic wa ccm hii ya Magufuli kama anatumia akili yake ni hii post.
Ni muimba mapambio pekee ambae anaweza kujumlisha positive figures 11 tofauti ikiwemo 160B halafu total figure ikawa 8.3M.
 
Acha uzwazwa wewe, huyo muandishi amejumlisha na miradi mengine ambayo haijaanza kama vile mradi wa gesi $30B, na bomba la Uganda $4.5B, Mimi nimeweka ile ambayo ni U/C tena sio yote.
Wewe acha kukosoa nilichoweka, weka miradi ya Kenya ambayo ni U/C kwasasa ili tulinganishe, acha maneno mengi
 
Back
Top Bottom