Tanzania ninayoitaka chini ya raisi dikteta

Tanzania ninayoitaka chini ya raisi dikteta

Joined
Jan 5, 2014
Posts
23
Reaction score
8
Tanzania NInayotaka inahitaji dikteta mzalendo ili Ifike huko. Dikteta atakayeweza kufutilia mbali vyama vya siasa na chaguzi za kinafiki za kila baada ya miaka mitano. Atakayeweza kuondoa mzigo wa utitiri wa viongozi wasio hitajika wanao jineemesha na kodi za walalahoi. Atakaye onea uchungu muda na pesa zinazopotea bure kwenye bunge, tume, na kwingineko kwenye maneno mengi bila utendaji! Atakaye weza kuwahamisha wa zanzibar kwa amri ya raisi kule visiwani na kuwajengea nyumba safi maeneo kama singida na same. Atakaye badilisha matumizi ya Ardhi ya Visiwa vile kuwa ni utaalii, Vyuo, hospitali za rufaa, kambi za kisasa za kijeshi na bandari huru. Hili litapunguza muda mwingi wa umbea wa serikali sijui mbili tatu moja! litaondoa kabisa dhana ya wao wazanzibar na sisi wazanibara! dIKTETA aakayeweza kuwaondoa wakulima na wafugaji kwenye ardhi ya Hifadhi. Atakaye weza kuhifadhi tembo wetu na faru wetu. ATAKAYE GAWA KWA HAKI keki ya taifa hili kwa wananchi wote. Atakayekomesha ulevi wakati wakazi, majungu, vijiwe, uchuuzi, short kati na usanii mwingi usio na faida kwa taifa hili! Hivi hatuwezi kupata mtu kama Gadafi kwa ajili ya kuingoza nchi hii kuelekea kwenye maendeleo?
 
Back
Top Bottom