Tanzania ni zaidi ya uijuavyo

Tanzania ni zaidi ya uijuavyo

delako

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
3,011
Reaction score
2,049
Habari, Nimeshindwa kuamini macho yangu Leo hii Kwani nimekutana na Dada wa kichina akiuza simu BAR. Ni muda huu maeneo ya tabata relini karibu kabisa na MWANANCHI COM LIMITED
( MCL).AMENIONYESHA SIMU ZA AINA MBILI NOKIA ASHA(200) YA KICHINA NA NOKLA.NIMESHINDWA KUMPIGA PICHA KWANI NI MJANJA SANA NA YUPO KWA TAHADHARI KUBWA.
 
Kazi ipo, kumbuka kuna kiongozi wao mmoja hivi karibuni alisema atakayediriki kuichokoza Tanzania atakuwa anaichokoza China,

Amini usiamin, muda si mrefu watanzania tutageuka kuwa wageni wa wachina hapahapa nchini kwetu
 
Sijui km wanalipa kodi hawa jamaa! Kuna mwingine anauza dawa ya meno inaitwa ANGOLA..!AMA KWELI TANZANIA NI SHAMBA LA BIBI.
 
Acheni ubinafsi au kwa kuwa nyinyi hamtembei
Hivi kuna watz wangapi south wanauza pipi pale joberg na dban, kuna watz wangapi wanauza urembo canada na usa, kuna watz wangapi mama ntilie china wanapika ugali mzr tu kule china
Ukiacha hilo unajua kuna wafilipino wangapi wanapiga u housegirl dubai au uae
Plz tufunguke akili tafuta fursa yako ww usiangalie ubinafsi
 
Alikuwa anauza kama machinga au ameishiwa fedha so anataka kuuza?
 
yupo mwingine dodoma anauza cm hajui english na kiswahili pia hajui ukiuliza bei ya simu anatoa calculater na kuandika kiasi cha fedha na punguzo ka bei.ni wajanja sana hawa watu
 
Back
Top Bottom