Tanzania ni ya 48 kati ya wanachama 54 wa CAF

Mzalendo_Mkweli

JF-Expert Member
Jan 30, 2012
2,021
1,266
Habari wana JF,
Nimeiangalia ranking list (viwango vya Ubora : FIFA) kwa nchi za Africa (CAF) nikajiuliza kwa sauti kama sasa Tanzania inashika nafasi ya 48 kati ya wanachama wote 54 wa CAF; Je tunastahili kuwa hapo tulipo? Je nini kifanyike kujikwamua.

Ahsante

FIFA.png

Source : The FIFA/Coca-Cola World Ranking - Ranking Table - African Zone - FIFA.com
 
Hadi comoro, si huko yanga anaendaga kupiga kumi jamani? So national team yao iko juu yetu
 
Hebu jaribu kuwaza siku Zanzibar wanakuwa wanachama was FIFA halafu kwenye Ranking wanakuwa juu ya Tanzania bara!
 
Back
Top Bottom