Tanzania ni nchi yenye furaha kuliko zote Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

comrade igwe

JF-Expert Member
Jan 12, 2015
7,295
3,945
Wana jamvi
Salaam
Wanachi wa Tanzania ni watu wenye furaha kuliko wananchi wa nchi zote za Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la sahara
Furaha inatokana na kuwa Rais mwenye msimamo na jitihada za kuwavusha watanzania katika maisha mazuri
 
Ungejua km kipindi hiki tunapita ktk wakati mgumu tangu tupate uhuru wala usingeandika uzi wako huu.
UTAKUWA UMETUMWA WW SIYO BURE
 
Bashite6.png
 
Back
Top Bottom