Tanzania ni nchi mojawapo ya pass mark ndogo kwa wanafunzi duniani

shonkoso

JF-Expert Member
Mar 13, 2015
671
1,427
Wastani wa passmark duniani ni 50% lakini pass mark ya tanzania ni chini ya 40%
Screenshot_2017-01-14-21-27-48.png
Screenshot_2017-01-14-21-26-59.png
Screenshot_2017-01-14-21-27-48.png
 

Attachments

  • Screenshot_2017-01-14-21-29-20.png
    Screenshot_2017-01-14-21-29-20.png
    38.8 KB · Views: 24
Tanzania ina mfumo wa elimu ambao ni mgumu kuliko nchi zote duniani, wacha hiyo pass mark iwe hivyo.

Pia watoto wanasoma kwenye mazingira magumu sana kuanzia nyumbani, barabarani hadi shuleni.

Walimu wao wanafanya kazi kwenye mazingira magumu sana.
 
Back
Top Bottom