kumbe tanzania ni mali na sio jina la nchi!!didn't know that.!basi jibu sahihi ni jk na ridhiwani
Sasa unabishaMkuu Bandio, umekubaliana naye tu au umekubali mafisadi waendelee kuwa ndio wenye Tanzania?
Ninachokataa ni kumtambua mwizi kwamba ndio mwenye mali ati kwa kuwa ndiye ameishika mkononiSasa unabisha
Mkuu nakubaliana na wewe.
Mkuu Luvcyna, mwizi akikuchomolea pochi anageuka kuwa mwenye pochi?Ni mali ya wezi wote kwani ndio wamekamata njia kuu za uchumi wa nchi
Ki vipi?ni mali ya ccm
Nani aliokudanganya kuwa Tanzania ni mali? Tanzania si mali, Tanzania ni nchi mbili zilizoungana na kuwa moja (kwa muda).
Mali uliyonayo ni yako ambayo huna si yako, hiyo mali iwepo Tanzania au Australia, inabaki ya kuwa ya mwenye nayo. Usijidanganye hata siku moja kuwa Tanzania ni mali.
Ni mali ya FATHER K. Yaani Karume na Nyerere Mchonga meno.
Nadhani mkuu Zomba tatizo kwako ni neno mali. Naomba uliangalie neno hilo kwa mapana, ukizingatia kwamba tunayo maneno katika kiswahili kama vile; maliasili, raslimali na mengine ambayo yanaweza kukuonesha u-mali katika kitu kinachoitwa nchi
Mali ya bibi lakini marehemu siku nyingi.
Zombaa, usipende kukimbilia kuiona mitazamo ya wengine kuwa ni ujinga na kujidanganya. Hebu rejea katika maana ya neno nchi. Ni bora uwe na uhakika kwamba katika mtazamo wako finyu wa neno mali hamna ujinga.Maliasili ni maliasili, rasilmali ni rasilmali. Huwezi kusema Tanzania ni mali. Tanzania ni nchi, usitake kujidanganya na kujijaza ujinga. Mali hata ya jirani yako si yako, hata ya mkeo si yako, hata ya mwanao si yako. Tanzania ni nchi na si mali.
Usiwe mjinga, funguka kidogo. Hivi mali yako wewe kwa kuwa iko Tanzania na mimi ni Mtanzania basi imesha kuwa yangu mimi? Maaweee!
Kisha wakamwachia nani?Pamoja na marehemu babu waipata enzi za ujana wao!
mali ya baba mwanaasha na nduguze
Zombaa, usipende kukimbilia kuiona mitazamo ya wengine kuwa ni ujinga na kujidanganya. Hebu rejea katika maana ya neno nchi. Ni bora uwe na uhakika kwamba katika mtazamo wako finyu wa neno mali hamna ujinga.