Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,340
- 1,493
Tanzania ndio nchi pekee duniani yenye utajiri usiofikirika,
Viongozi na wananchi tuweni makini na Mali tulizonazo. Kwasasa kuna makundi ya watu wanaokuja Tanzania kutoka ng'ambo kwa kujifanya watalii, wawekezaji na watu tulionao kimahusiano ya kitaifa ila nyuma yake wanakesha wanatufanyia upelelezi mkubwa sana juu ya Mali zetu na uwezo wetu wa kuweza kuzilinda upo vipi.
Tuweni makini sana. Tanzania inauwezo wa kuibadilisha Afrika ndani ya muda mdogo endapo tukiamua na kutekeleza yale tuyatakayo.
Nakutakia siku njema.