BABA JUICE
JF-Expert Member
- Sep 5, 2010
- 426
- 54
MUDA mwingine haina haja ya kukaa na kuumiza kichwa kwanini hatuendelei,umaskini umewaandama watanzania walio wengi, jibu ni kwamba wengi ambao wameshikilia hizi sector muhimu wameridhishwa, katika hii serikali yetu au private sector wewe unamjua nani ili uweze kuwa promoted sehemu fulani na hiyo haileti ufanisi wa kazi kwani aliyekuweka hapo akiaribu sehemu ww ambayo unatakiwa kuchukua sheria hautafanya lolote. kwanini isifike sehemu mtu akapewa kitengo kwa uwezo wake na sio kujuana.....katika serikali ya kikwete swala la kujuana na kulindana ni kubwa sana......kwa jinsi hii usitegemee maendeleo ya nchi bali ya mtu mmoja mmoja. TUJENGE PAMOJA