Tanzania nchi ya ajabu kweli

Dhahabu inaongeza pato la Taifa bangi inaongeza mambulula na vichwa ngumu kwenye jamii. Dhahabu inaongeza umaarufu wa nchi kimataifa, nchi zote zenye dhahabu zinajulikana kila kona ya dunia hii, bangi inaongeza idadi ya vijana wanaovaa mlegezo, ambao baadae wanawapatia kazi nzito wale madaktari wanaoshughulika na matatizo ya akili. Tofauti ni kubwa ndio maana serikali inathamini zaidi eneo lenye dhahabu kuliko mahali ambapo bangi inapatikana kwa wingi.
 
Huwa siielewi serikali hii bangi ikiwa shambani kwako ni mali yako ila ikigundulika dhahabu shambani kwako ni mali ya serikali
Kwani dhahabu nayo ni mmea?
Kwani dhahabu nayo inapandwa Kama bhangi?
Kwani dhahabu nayo inafanana matumizi na bhangi?
 
Serikali zetu zinaongozwa kwa misingi ya kikoloni. Tena kwa umburula tulionao watz hatutakomboka kamwe. Ndio maana wapuuzi wanashangilia maamuzi ya ngazi za juu bila kuwashirikisha wahusika. Usisahau tz tunatawaliwa na ukoloni mambo leo. Nadhani jibu unalo
 
Hata bangi 'ikigundulika' si mali yako tena
Naona hamjamwelewa mtoa mada. Ye anachomaanisha ni kwanini vitu halali/thamani vikigunduluka serikali inaviaifisha but vibaya unabebeshwa mzigo wewe Mwenye ardhi
Kwa hiyo bangi ni haramu ila dhahabu halali, sijaelewa hapo

Unahararisha bangi kijana

Dhahabu inaongeza pato la Taifa bangi inaongeza mambulula na vichwa ngumu kwenye jamii. Dhahabu inaongeza umaarufu wa nchi kimataifa, nchi zote zenye dhahabu zinajulikana kila kona ya dunia hii, bangi inaongeza idadi ya vijana wanaovaa mlegezo, ambao baadae wanawapatia kazi nzito wale madaktari wanaoshughulika na matatizo ya akili. Tofauti ni kubwa ndio maana serikali inathamini zaidi eneo lenye dhahabu kuliko mahali ambapo bangi inapatikana kwa wingi.

kama unashindwa kuelewa hili, rudi shule ukasome na usiwe mtoro. maswali ya watoro haya.

Kwani dhahabu nayo ni mmea?
Kwani dhahabu nayo inapandwa Kama bhangi?
Kwani dhahabu nayo inafanana matumizi na bhangi?
 
Naona hamjamwelewa mtoa mada. Ye anachomaanisha ni kwanini vitu halali/thamani vikigunduluka serikali inaviaifisha but vibaya unabebeshwa mzigo wewe Mwenye ardhi
Bhangi haigunduliwi toka ardhini Kama madini, bhangi inapandwa na kutunzwa mpaka ikomae kwa lengo maalum
 
Back
Top Bottom