Camera zetu ziko busy kupiga picha magari ya mtumbaSema hizo picha unakuta zimepigwa na mzungu
Sema hizo picha unakuta zimepigwa na mzungu
Inapunguza uzalendo,yani we upige picha alafu iwekwe Sydney au New York? Thubutuuuuzikipigwa na mzungu haiwi Tanzania?