Tanzania na Upinzani Kanjanja

Tanzania na Upinzani Kanjanja

Mbona hujibu hii mkuu Zee la kitaa
Kiongozi technically bajeti ni maksio ya mapato na matumizi. Kutofikia lengo hakuzuii wewe kuweka projection. Kwanza uelewe asilimia nyingi ya bajeti ya maendeleo tulikuwa tunategemea wahisani ambao wao wamekuwa wakibadilika kutokana na interest zao kutotekelezwa. Serikali kwa kuliona hill imeanza kuchukua hatua kwa kuanza kutumia pesa za ndani kwa asilimia kubwa kutekeleza miradi mukubwa ya serikali. Pia serikali kupitia ppp policy sasa inawavutia watu binafsi kuingia katika miradi ya pamoja na serikali. Hii kwa miaka ijayo tutafikia asilimia zaidi ya 80. Pia ujue serikalu ilifanyamaamuzi magumu kupunguza hela za oc na kuzipeleka katika bajeti ya maendeleo na hadi asilimia 38.
 
Tangia uongozi wa awamu ya tano uingine madarakani; mengi yameanza kuonekana kuhusu uhalisia wa upinzani wa taifa hili. Upinzani katika inch hii umekosa muelekeo ya nini wanakitaka na kukisimamia. Hoja za msingi wananchi walizozitarajia kutoka kwao zimeyeyuka.

Hususani hoja ya kupiga vita rushwa na ufisadi, kutowajibika na uzembe kwa serikali na mengineyo. Wananchi wanataka kuona upinzani uliosimama kwa kupigania haki zao na kujenga hoja za maendeleo ya taifa hili.

Wananchi wanataka rasilimali za taifa hili zisaidie kunufaisha taifa hili sio kuibiwa na wageni. Wapinzani wamekuwa na utamaduni wa kukosoa kauli za rais na watendaji wake bila kuja na hoja mbadala. Kiufupi upinzani katika taifa hili umekuwa hauna dira wala muelekeo wa nini hasa wanaona mbadala katika kuleta maendeleo ya taifa hili.

Kuna hoja wanasimamia kusema ccm imeongoza miaka 50 lakini hakuna maendeleo. Hivi hawa jamaaa wanaelewa tumetoka wapi. Mi niwakumbushe kidogo tu; miaka ya 1970's usafiri ulikuwaje Tanzania. Ulikuwa unasafiri siku ngapi kutoka Dar hadi Songea ama Arusha.

Pili; idadi ya wasomi walikuwa wangapi na sasa wako wangapi; vipi kuhusu maendeleo ya miji na mikoa ilikuwaje kulinganisha na sasa (najua kuna watu humu wanapicha ya Dar es Salaam miaka ya 1970's, maybe wakiwawekea mtaweza kuelewa tuliko toka). Vipi kuhusu upatikanaji wa nishati ya maji na umeme ilikuwaje ukilinganisha na sasa.

Kama hoja ni hii, swali ni kwamba upinzani unaleta hoja ipi mbadala ya kupaisha taifa hili katika maendeleo ya haraka kiasi wanachoota wao? Ili upinzani wa Tanzania usionekane kanjaja naomba wadau mtuambie tu; ni vitu gani mtakavyoleta kwa muda mfupi tufikie hayo maendeleo mnayosema ccm imeyashindwa kwa muda wa miaka hamsini?

Naomba kuwasilisha.
Mku pole sana kama ndo hoja asante kwa kutuumbua na hisi umetumwa kuja na hili. Kodi inayolipwa na wananchi ndo kazi yake. Vipi kwa hiyo miaka kabla kuja na sera ya viwanda ungetakiwa kuja na sera ya Kilimo Cha kumwagilia kwa kuwa mito ipo ya kutosha kwani kama mwananchi anauwezo wa kudrili maji kutoka ardhini ikashindikana vipi kwa wenye hizo kodi. Kwa hiyo ndugu inahitajika akili ya kufikiri mbali sio maneno wakati Mamlaka tushapewa kusimamia tulichopewa na kuplani ya mbele zaidi
 
Ukweli watanzania hawakuridhishwa na uongozi uliokuwepo na wakataka mabadiliko cha kusikitisha wanalazishiwa mabadiliko
 
Mr. Tairi bovu kwa maelezo yako ndio maana ninasema upinzani wetu ni kanjanja kabisa. Kama hizo hoja ndio upinzani wanataka kujua basi hawahitaji kupayuka kupitia hivyo unavyosem mikutano ama nini. Kwanza ujue wananjia mbalimbali ya kuibana serikali kupata majibu ya hizo hoja. Cha kwanza wanaweza kuitumia bunge vizuri na kuuliza hizo hoja ili kupata majibu sahihi. Pili kama hizo hoja zinatakiwa kutolewa katika mikutano ya hadhara; Mhe. Mbowe na wabunge wengine wahoji kupitia mikutano yao ya hadhara.

Unazungumzia bunge linaloongozwa na ndugai na tulia! Lile bunge ambalo mbunge wa upinzani anaitwa kwenye kamati hata kwa kukosea tu kutaja idadi ya risasi? Bunge la kusikia matusi na maneno ya kuudhi ya lema na heche huku kibajaji akishangiliwa? Bunge la speaker anaye tembea ubavuni kwa raisi? Bunge lipelekalo taarifa ya bunge kwa raisi/mhimili bila kujadili lenyewe kwanza

Ndugu yangu sheria haijatamka kokote kuwa wabunge wafanye mikutano kwenye majimbo yao tu. Tangu magufuli aingie madarakani kafanya mikutano mingapi ya hadhara tena mingine akiwa hata na makatibu wakuu na watu waliendelea na kazi kama kawaida? MAGUFULI anamwofopa eduard wala hamna lolote
 
Kiongozi hiyo hoja unayosema ungenielewa tu. Namaanisha kuna njia mbalumbali za kuwasilisha hoja moja ni hiyo; mbili ni bunge; kama haitoshi itisheni vikao vya ndani vya chama na wekeni live kupitia tv mbalimbali ujumbe utafika tu.
Bunge lipi lile ambalo halipo live hivyo wananchi hawataona hoja zinazotolewa humo?? Hivi unajua hakuna mtanzania aliyeona uwasilishwaji wa bajeti kivuli maana bunge lilikuwa gizani sasa unategemea nini mkuu kma unaowasemea hawaoni unavyowajibika??
 
I

Kwenye mkutano wa hadhara?? Je wananchi wa mpanda watajuaje?? Je jimbo la nyanghhwale ambako hakuna hta diwani wa chadema wataskiaje??? Na sheria gani inalimit mikutano ya siasa kwa wabunge tu

Tuwekane sawa hapo
Mbona viongozi wenu wanapata muda wa kuwatetea kina wema katika press conference kwanini wasiutumie huo muda kunadi sera zao. Tangu lini upinzani una muda wa kuwafuata watu vijijini?
 
Watanzania wangapi wanaaccess youtube ili kuona hizo press conferences?? Au kisa umekaa kwenye kasri mikocheni basi unafkiri watanzania wote wana huo uwezo??? Mikutano njia rahisi ya kuwafikia maana wenyeviti wa chadema kata wilaya na jimbo wamgepiga mikutano kumwaga sera ila press conference inawanufaisha wanaokaa mjini tu!!

Tangu lini?? Tangu uzinduzi wa operation ya Chadema ni msingi ambayo iliwafanya wazoe mitaa na vijiji ambayo ilikuwa mikononi mwa CCM kwa miaka 50 mwaka 2014
 
Unazungumzia bunge linaloongozwa na ndugai na tulia! Lile bunge ambalo mbunge wa upinzani anaitwa kwenye kamati hata kwa kukosea tu kutaja idadi ya risasi? Bunge la kusikia matusi na maneno ya kuudhi ya lema na heche huku kibajaji akishangiliwa? Bunge la speaker anaye tembea ubavuni kwa raisi? Bunge lipelekalo taarifa ya bunge kwa raisi/mhimili bila kujadili lenyewe kwanza
Ndugu yangu sheria haijatamka kokote kuwa wabunge wafanye mikutano kwenye majimbo yao tu. Tangu magufuli aingie madarakani kafanya mikutano mingapi ya hadhara tena mingine akiwa hata na makatibu wakuu na watu waliendelea na kazi kama kawaida? MAGUFULI anamwofopa eduard wala hamna lolote
Tairi bovu; it is obvious you cannot trust anything going on with organ of the state. Kama ni hivyo basi utabaki kulaumu. Hata bunge lifanye vipi hutaona kuna jambo wanafanya. Hata mahakama ifanye vipi hutaona la maana. Kutokana na hilo nakushauri be smarter than the way unavyodadavua. Tatizo kubwa la upinzani ni kuona wao ni watu wa kuonewa halafu hamna mikakati dhabiti hivyo kuonekana upinzani kanjanja. Badilikeni leteni tangible aspect it will be good for you guys.
 
Watanzania wangapi wanaaccess youtube ili kuona hizo press conferences?? Au kisa umekaa kwenye kasri mikocheni basi unafkiri watanzania wote wana huo uwezo??? Mikutano njia rahisi ya kuwafikia maana wenyeviti wa chadema kata wilaya na jimbo wamgepiga mikutano kumwaga sera ila press conference inawanufaisha wanaokaa mjini tu!!

Tangu lini?? Tangu uzinduzi wa operation ya Chadema ni msingi ambayo iliwafanya wazoe mitaa na vijiji ambayo ilikuwa mikononi mwa CCM kwa miaka 50 mwaka 2014
Kwani kiongozi mataifa yote duniani baada ya uchaguzi kunakuwa na mikutano ya hovyohovyo. Mkitaka kwenda kuzindua tawi maybe tuseme namtumbo kata fulani si mnaenda mnazindua halafu mnafanya vikao vya ndani mnatumia viongozi wenu kueneza ajenda zenu katika maeneo husika. Mmekosa watu wa strategies kukipaisha chama chenu katika misingi ya wakati uliopo. Unajua I always hate people who blame for challenges; I like people who take challenges as an opportunity to realise their goals.
 
Mku pole sana kama ndo hoja asante kwa kutuumbua na hisi umetumwa kuja na hili. Kodi inayolipwa na wananchi ndo kazi yake. Vipi kwa hiyo miaka kabla kuja na sera ya viwanda ungetakiwa kuja na sera ya Kilimo Cha kumwagilia kwa kuwa mito ipo ya kutosha kwani kama mwananchi anauwezo wa kudrili maji kutoka ardhini ikashindikana vipi kwa wenye hizo kodi. Kwa hiyo ndugu inahitajika akili ya kufikiri mbali sio maneno wakati Mamlaka tushapewa kusimamia tulichopewa na kuplani ya mbele zaidi
Kiongozi hoja yako ya agrarian transformation through irrigation farming is genuine kabisa. Nakubaliana na wewe kwa asilimia mia, ila huwezi kuendeleza kilimo pekee bila industrialization strategies. Kilimo na viwanda ni vitu viwili vinavyotakiwa kwenda sambamba. Serikali inalitambua hilo; na ndio maana ukipitia bajeti ya 2016/2017 na 2017/2018 bajeyi ya kilimo iliongezeka ingawaje haikuwa kubwa. Pia natumaini bajeti ya 2018/2019 serikali itaongeza fedha katika kuboresha kilimo. Pia umeona jitihada za kurasimisha ardhi ya kilimo na makazi inaendelea. Mkulima akishakuwa na ardhi iliyorasimisha anaweza kuitumia ardhi hiyo kuchukua mkopo na kuboresha kilimo cha kisasa na cha kibiashara. Sera ya viwanda na kilimo lazima viende sambamba kuliko kuanza na kilimo halafu badae uje na viwanda.
 
ndio shida ya kujipendekeza na unafiki sasa toka mwenyekiti wenu aseme mjibu hoja kwenye mitandao hichi ndicho ulichokiona kinafaa.....uwezo wako wa kufikili ni mdogo sana
 
Sasa ugolo wa bibi wewe umeleta hoja gani hujajibiwa. Wewe sema ishu ambayo inakusumbua ama hujaielewa. Kwani kila mtu anayeleta hoja lazima awe na chama fulani. Taifa hili lina watu waliko katika vyama na wasio na vyama, jitahidi kuondoa generalisation.
 
Nani aliwaambia kuna upinzani TZ?mbona mnakuwa wagumu sana kuelewa kuwa mnachezewa picha?
Upinzani upo Jecha asingefanya upuuzi wa kufuta matokeo ZNZ...wanajeshi wasingeacha kazi zao na kutisha watu mitaani...magari ya washawasha kununuliwa kwa mabilioni ya shilingi..bado unabisha upinzani haupo basi nenda Lutindi hospital
 
Kwani kiongozi mataifa yote duniani baada ya uchaguzi kunakuwa na mikutano ya hovyohovyo. Mkitaka kwenda kuzindua tawi maybe tuseme namtumbo kata fulani si mnaenda mnazindua halafu mnafanya vikao vya ndani mnatumia viongozi wenu kueneza ajenda zenu katika maeneo husika. Mmekosa watu wa strategies kukipaisha chama chenu katika misingi ya wakati uliopo. Unajua I always hate people who blame for challenges; I like people who take challenges as an opportunity to realise their goals.
We jamaa bwana eti mataifa?? Ninaweza kukuwekea hapa video zaidi ya 100 za democrats wakipiga mikutano ya hadhara marekani na maandamano kumpinga trump mwaka huu pekeee sasa cjui mataifa gani

Pili sheria ya vyama vya siasa za nchi nyingine ni tofauti na tanzania..... Kwa mfano sheria ya kenya uganda drc zinaruhusu mikutano bila ukomo na maandamano na ndio maana besigye wa uganda odinga wa kenya na vital kammerrhe/ felix tsishekedi wanafanya mikutano mpaka kufikia weekend hii sasa kwanni hamlinganishi na hawa jirani zetu mnakimbilia MATAIFA MENGINE unafkiri marekani kma sisi?? Kule obama akiongea kupitia youtube channel nchi nzima inamuona maana internet access ni 100% why compare na ssi ambao wenye smartphone na access ya internet hawazidi 30% are u serious??

Kingine sheria ya TZ inaruhusu mikutano why uite challenge sio kuvunjwa sheria?? Yaani wwe mtu aje kuua mtoto wako unaita challenge and so its an opportunity?? Challenge iwe legally binded hapo ningesema sio uhuni wa mtu mmoja mnasema ni fursa?? Na kichekesho unasema mikutano ya ndani wakati unajua mpaka sasa wanachadema 1000 wameshafunguliwa kesi toka january kisa mikutano ya ndani..... Mwalimu alikaa gerezani kule simiyu kisa mikutano ya ndani.... Mashinji alifungwa kule mbamba bay pia mathew wa lindi mwenyekiti huyu wa chadema yupo jela mwezi wa sita sasa kisa mkutano wa ndani

Mkuu mwanzo nlikuona mtu makini nikajua upo neutral kutafuta ukweli ila ssa umeshaexpose ur true nature...... Unashabikia uhuni wa magufuli unauita fursa??? Funny
 
Kiongozi nenda kwenye hitimisho ya idea yangu. Nimesema hatutakiwi kuzikimbia changamoto bali kuzichukua changamoto kama fursa ya kuendeleza jitihada mbalimbali ambazo vyama vinahitaji kufika. When one door is closed another door is opened; but you can realise it if you really become so smarter kiongozi.
 
Nimekuelewa mkuu ila Shida nachokiona wewe unachanganya vitu viwili kati ya NIA na KITENDO na hapa ndipo napotofautiana na wewe

Kwa muktadha huu KITENDO ni kufuta mikutano ya kisiasa ila NIA ni kuua upinzani hii ikimaanisha VITENDO vinakuwa affected na NIA hivyo basi hata upinzani ukibuni mbinu mpya ndio hivyo hivyo serikali itabadilisha VITENDO ili kuendana na NIA ya kuua upinzani mfano nakumbuka meya alizindua mradi wa maji huko ubungo akamuita mwenyekiti wake wa kanda aje kuhudhuria polisi wakawakamata eti mkutano wa hadhara?? Yaani kuongozana na sumaye ikaonekana ni maandamano na mkutano

Hoja yangu ni nini....kwamba hata kama wapinzani watabuni njia mpya whether kuanzisha TV na Redio sijui kufungua viwanda cjui kusambaza maji nchi nzima ili kuwa karibu na wapiga kura hiyo serikali ya CCM itaweka vikwazo mbalimbali utaskia marufuku viongozi wa siasa kuzindua miradi ya maendeleo utaskia chadema sio wizara ya maji hivyo kuchangia miradi ya maji ni uchochezi and so on sababu NIA yao ni kuua upinzani kwahyo KITENDO baada ya KITENDO vitaongezwa ili kukidhi NIA yao ya kuua upinzani...... Be visionary and see the big picture ahead sio hoja ya kamkutano tu

I hope umenielewa sasa
 
Back
Top Bottom