mandella
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,051
- 3,255
Nianze kwa kusema , Kati ya nchi za Afrika zilizopokea Mfumo wa ukuaji Technologia vibaya , especially Matumizi ya social Media , Basi ni Tanzania.
Kwanini.
Ni nadra sana au huwenda hakuna kabisa nchi Zenye uzoefu wa matumizii ya social media kukuta mtu anakua maarufu tu in easy way .
Labda ni kwa vile hatufaahamu Gharama na positive outcome za mtu kufia level ya kua katika Kundi la kujiita celebrity. Yatupasa kufahamu kua,kwa wenzetu ni Bussiness na ni cheo kikubwa sana katika kutengeneza Uchumi wa mtu binafsi na ndio maana, huwezi kamwe kua Celebrity Simply tu Eti kwa vile Umeonekana kwnye video ya Mziki fulani .Never.
Turudi hapa kwetu, Ni vituko na Maajabu, To be a celeb.. ni tukio la Mchana Mmoja . Mtu anaweza kujiunga na Instagram Usiku akaamka asubuhi akawa Celebrity.
Na ndio maana kumekua na utitiri wa Macelebrity Uchwara ..
Mtu kaweka video Anakatika mziki , tayari kesho media Inamuita kwnye Interview , Nae eti ni Celebrity.
Flani kafanana na Flani Eti nae Kesho anainterviw tayari ni celebrity..
Yote haya yanatokea kwa vile Ya Ulimbukeni katika Mapokezi ya Mitandao ya Kijamii, na kwa vile ni free .
Nchi kama ya China kwa gharama za matumiz ya Hii mitandao , huwezi kuta Upuuzi upuuzi wa watu kujikuta Maarufu in a easy way.
Kua Celebrity ni Cost kama zilivyo Cost nyingine za investment, na hiii ni kwa vile Celebrity pia hutarajia Matokeo Chanya ya Ucelebrity wake.
Wabongo Tuachaneni na .UCELEBRITY UCHWARA.
By N.E.K.