A AFRIMASE New Member Joined May 22, 2025 Posts 3 Reaction score 1 May 25, 2025 #1 Siasa zetu hazija komaa, Hii tusidanganyane mtu Ukisema ukweli wewe ni adui, Siasa za aina hii ifike mahali Zikome sisi ndugu malumbano Ya kisiasa ya nn?na nyie viongozi Naomba busara itumike katika Kuwatumikia wananchi
Siasa zetu hazija komaa, Hii tusidanganyane mtu Ukisema ukweli wewe ni adui, Siasa za aina hii ifike mahali Zikome sisi ndugu malumbano Ya kisiasa ya nn?na nyie viongozi Naomba busara itumike katika Kuwatumikia wananchi