tanzania na siasa za u-dini

tanzania na siasa za u-dini

mkwega

Member
Joined
Apr 26, 2011
Posts
11
Reaction score
0
maoni ya kila mwanadamu yamejaa mabadiliko ya dhati pale anapopakusudia.rejea mwaka 2005 uchaguz mapdri na makanisa yote wakasema kikwete ni chaguo la mungu akashnda.akaongoza walivyomuona kafuta ubaloz wa vatican tanzania na kuzuia pesa za msaada kwa makanisa wakamuona hafai.mwaka 2011 zikazagaa sms 2muondoen mwislam ikulu.waislam nao japo hakuna mazur waliofanyiwa wakamuokoa waislam wakaungana kisa slaa mchungaji.je 2015 itakuwaje
 
Nina imani kama kweli unafuata haki na kutuata maadili ya dini yoyote ile sidhani kama utaweza kutokuwa na msimamo wako mwenyewe when it comes to judge between the right and wrong. Your common sense will always guide you. Lakini ukiwa na busara ndogo ndio wanasiasa hasa wa bongo watakuchezea kama piano
 
Back
Top Bottom