nduza
JF-Expert Member
- Feb 7, 2019
- 1,592
- 2,504
Biashara kubwa ya ma homeboy south ni ndumu na ngada sasa wale wa south wanachukulia huko bongo sio poa huwenda kuna masoko kabisa ya hayo maswalaJamaica ni kwa ajili ya Bob Mareale na Peter Tesha. Tanzania ni kutokana na akina nani?

