Kuna uhusiano wowote wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Jamaica,je Kuna mkataba wowote ulioingiwa au unatakiwa kuingia kati ya nchi hizi mbili
Mkuu Asante sana kumbe kunaendekaSina hakika vizuri. Lakini nijualo huhitaji viza kwenda Jamaica. Kwenda Jamaica ni kama kwenda Uganda tu hapo. Uwe na pasipoti halali tu basi.
Hii ni dalili ya mahusiano mazuri baina ya Jamaica na Tanzania.
You see what I'm sayin'?
Daaaaaaaah mwana hyo kitu Ni dawa ariiifu aiseeee ukipiga hyo mpaka rahaaKimwili Niko bongo ila akili Ni ya Kingston Jamaica.
Unataka ukale shada na ma rastafari nini
Daaaaaaaah mwana hyo kitu Ni dawa ariiifu aiseeee ukipiga hyo mpaka rahaa

halafu kuna wasoro wanaiponda na hawajawahi hata kumoka dawa arifu.Daaaaaaaah mwana hyo kitu Ni dawa ariiifu aiseeee ukipiga hyo mpaka rahaa
Kuna uhusiano wowote wa kidiplomasia kati ya Tanzania na Jamaica,je Kuna mkataba wowote ulioingiwa au unatakiwa kuingia kati ya nchi hizi mbili
Hata south Africa wanaamini Tanzania bangi ni Kama sigara tuNilipokwenda Jamaica, vipeperushi tulivyopewa kuhusu tuendako vilituambia kwamba, tofauti na fikra za watu wengi, Ganja ni marufuku Jamaica, kama vile ilivyo marufuku Tanzania.
Mawazoni ukisikia Jamaica unajua kwamba unakatiza kitaa unakuta 98.9% ya Wajamaika wamefuga nywele za rasta, na wanavuta misokoto wakitembea huku na kule. Walichotuambia ni kwamba wenye imani za urasta ni asilimia sita tu hivi ya wananchi wote (06%), na wanaofuga nywele za kirasta ni wachache zaidi.
Nilipokwenda Jamaica, vipeperushi tulivyopewa kuhusu tuendako vilituambia kwamba, tofauti na fikra za watu wengi, Ganja ni marufuku Jamaica, kama vile ilivyo marufuku Tanzania.
Mawazoni ukisikia Jamaica unajua kwamba unakatiza kitaa unakuta 98.9% ya Wajamaika wamefuga nywele za rasta, na wanavuta misokoto wakitembea huku na kule. Walichotuambia ni kwamba wenye imani za urasta ni asilimia sita tu hivi ya wananchi wote (06%), na wanaofuga nywele za kirasta ni wachache zaidi.
Iyoo sitoacha aiseee nilifika sehemu moja kwa whites nilisaka mpaka ikapatikanahalafu kuna wasoro wanaiponda na hawajawahi hata kumoka dawa arifu.
Kipande ya tz waree wengi sana.
Mm Ni Rastafarian pure kabisa na ninafuata mising ya RastafarianNa wewe hapo unajiona Marley au vipi..!!
Mi nikisikia Jamaica tu kitu kinakuja kichwani ni bhangi na Bob Marley.
Mm Ni Rastafarian pure kabisa na ninafuata mising ya Rastafarian
Acha uongoHata south Africa wanaamini Tanzania bangi ni Kama sigara tu
ItalRastafarian sio nywele ni imani naweza kua sina dreadlocks lakini naamini jah na jah anabless
Hata south Africa wanaamini Tanzania bangi ni Kama sigara tu