KILYA BIYE
Member
- Dec 21, 2012
- 52
- 12
Ajali zinapotokea barabarani, nyumbani, shuleni, kazini au popote pale, mara nyingi wanaoanza kufika eneo la tukio wanakuwa hawana uelewa wa kutoa huduma ya kwanza na hivyo kuhatarisha maisha yao wenyewe au ya majeruhi.
Ikizingatiwa kuwa kuna hali ambayo majeruhi asipopata huduma ya kwanza haraka anapoteza maisha.
Swali langu kwa wana jamvi Hivi ni kwa nini hakuna elimu ya huduma ya kwanza kwa wananchi, au kuna mkakati upi wa kusaidia swala hili. (Mfano hata wewe unayesoma hapa ukipata ajali huko barabarani, (siombei upate ajali ni mfano) utahitaji kupewa msaada wa kwanza na watu watakaoanza kufika eneo la tukio, hivi kama hawajui lolote itakuwaje?