Tanzania na Digital TV: Kuanza kurushwa 2012!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tanzania na Digital TV: Kuanza kurushwa 2012!!

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Steve Dii, Aug 27, 2009.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Source link: http://news.idg.no/cw/art.cfm?id=84AF849A-1A64-67EA-E40721BF879CB68C

  Kuna habari za TBC kubinafsishwa kwa Wachina, hapa: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/37175-tido-mhando-na-ubinafsishaji-wa-tbc.html
  Mkataba ulisainiwa kwa "kuharakishwa" baada tu ya maamuzi haya ya SADC!! ....Something very fishy smelling....!!

  SteveD.
   
 2. Buricheka

  Buricheka Member

  #2
  Aug 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nani alinukuliwa akisema mkataba ulisainiwa kwa "kuharakishwa"?
   
 3. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #3
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mimi hapa.
   
 4. Buricheka

  Buricheka Member

  #4
  Aug 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Umejinukuu mwenyewe!

  hahahahahaaaa aaaaaaaaaaaaaaa aaaaaa!

  Uliiweka kana kwamba una chanzo tofauti. Du, bora niliuliza.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Yep... ha ha ha haaaaaaaaaaaaaaaaa aaaaaaa!
   
 6. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #6
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  TBC Kubinafsishwa: Very Wrong Information.

  I will come back with facts and data.

  Stay tuned.
   
 7. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #7
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Am back!

  SteveD; TCRA huko nyuma walitangaza Expression of Interest kualika makampuni kwa ajili ya kutoa huduma za Multiplexxer Operator for Digital Broadcasting. Hii ni Terrestrial transmission Technology ambayo itamfanya mtumiaji wa TV na baadaye radio kupata matangazo yake kwa njia ya Digital. Faida yake ni kuwa matangazo yanakuwa na ubora wa juu na pia masafa yanayotumika (spectrum) ni ndogo kuliko ilivyo sasa kwa Analogue Transmission.

  Katika Category ya sasa ya License kuna Content License, katika category hii kuna Radio na TV na Vituo vyote vya Radio na TV wana leseni hii. Leseni hii inawawezesha wenye vituo kuandaa Content na Kuzirusha.

  Katika Digital Broadacsting, kuandaa content na kuzirusha kutatenganishwa. Anyaeandaa content hataruhusiwa kuzirusha ili kutoa room kwa fair competition kwa wale wengine watakoataka kuanzisha TV na Radio.

  Kwa taarifa tu ni kuwa kwa DSM sasa hivi masafa ya Radio yamejaa na kwa hiyo huwezi kuanzisha Radio Mpya. TV masafa yamebaki machache. Katika Digital Braodacsting masafa yatakuwa mengi na wengi wanaweza kuomba leseni na kufungua vitua vyao vya habari.

  Sasa basi katika Digital Broadcasting, Technolojia ya transmission ni tofauti na ya sasa hivi na zaidi ya hayo kujenga Miundombinu (Infrastructure) za transmission ni gharama kubwa sana kwa NCHI NZIMA, hii ni mbali na uendeshaji wake. Ni dhahiri kuwa inahitajika kampuni yenye uwezo mzuri wa kiufundi na kiutendaji.

  Katika mfumo wa Fair Play huwezi kuwa Refa na kisha Mchezaji. Hivyo Makampuni yote ya Utangazaji hayakutakiwa kuomba kuwa Multiplexer Operator. Basically kulikuwa kunatakiwa makampuni matatu:
  1. One - Public Multiplexer Operator
  2. Two - Private Multiplexer Operator.

  Defintely kimikakati ingefaa TBC waunde kampuni nyingine ya kurusha matangazo ya Public Broadcastors. So, hii inaweza ikawa sababu ya wao kufanya expression ya kufanya hiyo kazi pamoja. However, this has got nothing to do with CONTENT ambayo ndiyo Core activity ya TBC.

  Katika Expression of Interest iliruhusiwa kuwa na partners na katika partners local partner lazima alitain 35% minimum.

  Utaona kuwa kampuni kama ITV na StarTV yameungana kuunda kampuni ya Basic Transmission.

  Na vile vituo vya kidini kuunda Agape associates Limited

  Na TBC na partners kuwa StarMedia Tanzania Ltd.

  Sasa hapa kuuzwa kwa TBC kunakujaje wakuu.

  See attachment.
   

  Attached Files:

 8. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #8
  Aug 27, 2009
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145

  Mkulu Superman, naona umejitutumua kichizi kwenye hili lakini umeshindwa kupaa...
  Hata hivyo nakushukuru kwa attachment mkuu. Ngoja nipitie pitie nami yanayojiri, ili kuweza kurudi baadae. Thanks.
   
 9. Superman

  Superman JF-Expert Member

  #9
  Aug 27, 2009
  Joined: Mar 31, 2007
  Messages: 5,702
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Mkuu;

  Sikuwa nataka nipae . . . Ila nilikuwa napenda kuweka bayana kile ninachokijua. napenda Ku-Declare kuwa sina Interest yoyote TBC na katika mchakato wa sasa wao ni washindani wangu na haya niliyoyaeleza ndiyo niliyoyakutana nayo katika mchakato huo.
   
 10. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #10
  Mar 1, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Sasa mkuu Superman, kina Mengi(ITV) and Samweli Nyala(Star TV) ambao ni Multiplexers hawataruhusiwa kutengeneza Contents kwenye stations zao?
   
 11. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Superman naomba ujaribu kunileza haya mambo ya telecommunication huw anapendasana kuyafahamu.

  Umetaja faida ila hujasema upande mwingine wa shilingi tutegemee nn kwa watumiaji.


  Hivi haiwezekani ukawa ndo mwisho wa channel za bure? Naona kama hii ni njia ya kuwa na ma DSTV. kwa mtazamo huo ni kama kuisafishia njia Multchoice au DSTV.

  Nadhani kuna baadhi ya mashirika ya utanazaji yatafaidika zaidi ( Multichoice)wakati mengine yakiwa kwenye wakati mgumu. Kuweka fair competition inabidi kitu.
   
 12. Mtoto wa Kishua

  Mtoto wa Kishua JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 819
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 45

  Kutakua na TV rating sys kujua watu wangapi wan watch TV show?
   
 13. k

  khalids19 Senior Member

  #13
  Mar 7, 2010
  Joined: Jul 27, 2009
  Messages: 157
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  sasa HDTV stations zitakuja lini?2020? au
   
 14. Butola

  Butola JF-Expert Member

  #14
  Mar 7, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,222
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Hizo zitakuwa baada ya shut-off of analogue televisions ambayo kibongobongo(East African Countries) wamepanga kuwa ni 2012 lakini kiuhalisia it may take up to 2015(ITU Shut-off time).

  Kabla ya kusitishwa kwa analogue broadcasting haishauriwi kutumia HDTV kwa sababu spectrum efficience yake sio nzuri ukilinganisha na SDTV, ila baada ya shut-off of Anologue Broadcasting ruksa.
   
 15. LINC

  LINC Member

  #15
  Mar 7, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Superman,

  kwa kuongezea tu kidogo kwa kile ambacho nakifahamu mimi ...hawa wachina ( Starmedia) wanatumia Decoder ambayo inakuwezesha kutumia smart-card ambayo watakupatia wao na pia gharama zake zitaanzia TZS 10,000 au zaidi kwa mwezi ila nimejaribu kufuatilia sijajua gharama ya decoder .

  Swali langu ni hapo uliposema kwamba Star-TV na ITV wameungana na kuunda Basic Transmission, hawa nao watakuwa wakitumia njia gani ya kutoa huduma kwa wananchi ?
   
 16. yakub

  yakub Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 41
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  yeah its true
   
 17. Shedafa

  Shedafa JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 802
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuhusu nini?
   
 18. VeniGan

  VeniGan Senior Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 196
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  so far mpaka sasa hivi tunazo television ngapi hapa Tanzania ambazo wameshaanza ku-undergo transition to Digital TV?
   
 19. kikahe

  kikahe JF-Expert Member

  #19
  Oct 5, 2011
  Joined: May 23, 2009
  Messages: 1,273
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Star media tumeshaona mambo yao (star times) na Agape associates ( Ting) kama sijakosea. Vipi hao Basic transmission? Ina maana tutalazimika kuwa na decorder nyingi home ili kupata hizo local channles? Tuelewesheni plz
   
 20. Kimori

  Kimori JF-Expert Member

  #20
  Oct 5, 2011
  Joined: May 26, 2008
  Messages: 217
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ina maana antena zetu hazitafanya kazi baada ya migration from analogue to digital?
   
Loading...