Wakati Watanzania tunaendelea kushuhudiakikao cha marekebishia ya Katiba kikiendelea napenda kujumuika na baadhi yawaliopata nafasi kuchangia kuhusu suala la uwezekano wa uraia wa nchi mbili(Due citizenship).
Katika nchi yetu tuipendayo ya Tanzania kwa sasa haitambui uraia wa nchi mbili,kwa maana kuwa ukichukua uraia wa nchi nyingine unapoteza haki ya kuwa raia waTanzania, Suala hili linapaswa kuangaliwa kwa makini wakati huu wa marekebishoya katiba, Kwa maoni yangu iwe ruksa kwa Mtanzania kuwa na uraia waTanzaniahata kama utakuwa umechukua uraia wa nchi nyingine.
Suala hili lisipoangaliwa kwa makini amalikiangaliwa haraka haraka linaweza tafsiriwa kuwa Watanzania hao wanatamaa yakutaka huku na kule, si sahihi kulitafsiri swala hili lightly namna hiyo, wengiwa watanzania waliokwenda kuishi kisha kupewa uraia na kuishi nchi nyinginehawakuwa na maana ya kuukana Utanzania na ukiangalia mpaka sasa hakunaanayetamba ama kuuponda U-Tanzania popote alipo.
Wengi wa watanzania wanaoishi ughaibuni ama nchi yoyote nje ya Tanzania nakupata uraia wa nchi hizo bado wanajitambulisha kama watanzania, uraia wanaopewani haki ambayo wengi wao wameifanyia kazi muda mrefu sana katika nchi waliyopo,wengine wameoa au kuolewa na wenye nchi hizo, kwa hiyo baada ya muda anapewauraia kwa tittle ya mumewe au mkewe na ili kupata baadhi ya haki muhimu inabidiwatambulike kama raia, lakini hii haimaanishi hata kidogo kuwa sasa yeye naTanzania basi.
Hata watanzania waliokuwa wakubwa kisiasa waliishi nje lakini inafika wakatiwanarudi nyumbani tukumbuke kama wazee wetu akinaAbrahaman Babu na Mzee Kambona nyumbani ni nyumbani huna ujanja.
Watanzania hao ambao baada ya kupata uraia wa nchi wanayoishi sasa wanatakiwakuomba visa ili kuruhusiwa kuingia Tanzania,yani Mswahili wa Tarime au Ndanda sasa anakuja Tanzaniakama mgeni!, wanalipishwa kiingilio kwa dola katika mipaka yote ya Tanzania.
Kuwapa haki ya urai katika nchi yao mama(Tanzania) ni swala muhimu katika kuendeleza Tanzania, maana yangu ni kuwawengi wanafanya kazi nje ya nchi lakini mawazo yao ni Tanzania wengi ama wotewana ndugu ambao bado wanawasiliana nao kila mara, katika kuwasiliana hukowengi wanawekeza Tanzania sababu ndio kwao na ndipo siku wakikata kauli wengiwatarudishwa na kulazwa walipolala ndugu zao wengine.
Raia wengi tunajua ugumu wa Maisha yaliyopo Tanzania tuna wahitimu wengi ambaowanamaliza na kufaulu vizuri bila kupata ajira, wapo wenye bahati ambaohumaliza na kuanza kazi moja kwa moja lakini wengi hawana bahati hiyo.
Mtanzania ambaye amekwenda kujiendeleza njeanaliona hili suala na anajua labda hayupo kwenye kundi la wenye bahati kwamaana kuwa hata kama atarudi nyumbani anaweza asipate ajira na wanaopata ajirawengi kama vile walimu wanaanzia mshahara wa shilingi 277,000=, kiasi ambachoukijiuliza mwalimu huyu ambaye amepanga na kutumia public transport anafikajemwisho wa mwezi hupati jibu, ukipata bahati unaweza kuanzia kazi kwenye taasisizinazolipa shilingi 750,000= kwa mwezi, lakini ni watanzania wangapi wanabahatihiyo?.
Nchi kama Uholanzi mshahara wa mwezi unaanzia Euro 1440 sawa Tsh 3,240,000Norway wanaanzia euro 2000 na Uingereza ni zaidi ya hapo, kwa haraka harakawatu hawa wanaweza kuishi kwa amani huko walipo na bado wakasaidia ndugu zaoambao wapo Tanzania.
Nchi zingine kama Uingereza ukiwa raia una haki ya kuishi kwa kutegemeaSerekali kwa chakula malazi, matibabu yaani hata kama hufanyi kazi, kwa maanahiyo Mtanzania huyu akipata kazi na anaishi nchi ambayo kwa kawaida huwezikujinunulia kiwanja na kujenga nyumba yako lasivyo uwe Milionea siku zoteatakuwa na mawazo ya kuja kuijenga nyumba yake nyumbani na ya kisasa kamaanayoiona huko nje, na kwa vile anaishi nje basi hiyo nyumba yake wataishiwatanzania ambao kama walivyo wengi wetu hawana uwezo wa kujenga kwa haraka nakwa mishahara halali.
Tutakapo ruhusu Mtanzania anayepata uraia nje kuendelea na uraia wake wa Tanzania kama atapenda basi ataendelea kulala nakuwaza Tanzaniazaidi na zaidi.
Mimi nimeishi nje ya Tanzania kwa muda hivyo naelewa umuhimu wa kuendelea kuwaraia wa Tanzania, naelewa umuhimu wa siku moja kuja zikwa pale walipozikwandugu zangu,naelewa watanzania wanavyoendelea kuwa treated kama wageni japowapewa uraia wa nchi wanazoishi sababu ni WAGENI and "THEY WILL NEVER FITIN".
Wajumbe wa Bunge wa katiba watumie busara katika kujadili hili kwa kuzingatiakuwa watanzania wanaoishi je na wamepewa uraia huko walipo wanapenda kuendeleakuwa watanzania, wajumbe watakuwa wametenda jema kuruhusu uraia wa nchi mbilihasa kwa watanzania waliobahatika kupata uraia wa nchi nyingine katika njia yakutafuta maisha kwa ajili yao wenyewe na ndugu zao,sio kwa walio kimbia kwauharamia.
Sababu nchi nyingi wanazoishi Wazanzania nje ya Tanzania system yao ya kufanyakazi ni 100% kazi hivyo watanzania wengi wanajifunza na kunakili mifumo hiyoili siku wakirudi nyumbani wawaambukize watanzania wenzao maana nchi nyingi zanje unaposema kazi unamaaninisha kazi na si kazi ya kuingia saa unayotaka nakusign na kuondoka, unakula kwa jasho lako kihalali na ukijituma unapata.
Japo ni kidogo lakini watanzania walio nje wanaweza na wamekuwa wakichangiakihalali kidogo wanachopata katika kuendeleza uchumi wa Tanzania,Ukiendawestern Union ama Organisation zingine za Money transfer nchi za nje Watanzaniawamejaa wanatuma pesa nyumbani (Tanzania), wengi wakati wa mapumziko hujaTanzania na wengi wao hawaji mikono mitupo ama kuja kutengemea ndugu za waliokoTanzania badala yake huja wamekamilika na vitu vingi ambayo wengi huvitumabandarini na kulipia ushuru, siku wanaondoka kurudi makazini wengi wao huondokawatupu nakwenda kuanza upya katika harakati za kukusanya ili akirudi tenaTanzania aendelee pale alipoachia.
Mtanzania anayeishi nje hana sehemu ya kuishi kwa furaha zaidi ya Tanzania, hana sehemu anayoishi kwa amani zaidiya Tazania, Mtanzania huyu hana sehemu aliyo na marafiki wengi zaidi ya Tanzania, Mtanzania huyo ambaye wazazi na nduguzake wote wako Tanzania leoanaadhibiwa kwa kitendo cha kwenda kutafuta kipato ambacho hakipereki popotebali TANZANIA.
Miaka ya sabini ilikuwa inaeleweka pale alipoadhibiwa mtanzania aliyekwendakusoma Urusi, Denmak, Hungary nk na akakataa kurudi, sababu tuliitaji wataalamwetu ambao hatukuwa nao wa kutosha na wengi wao waliperekwa na gharama zaserekali, Zanzibar tulikuwa na chuo kimoja tu tena cha ualimu pekee na sasakuna vyuo zaidi ya vitatu vikubwa,bara kulikuwa na chuo kikuu kimoja tu kilichokuwa kinahitimisha wanafunzi 15 tu na sasa tunavyuo zaidi ya 30 wanaohitimu nizaidi ya 110,000 kwa mwaka, kwa miaka hii wengi wako nje kwa gharama zao katikakutafuta kilicho bora kwa ajili ya watanzania wenzao na sasa akifanikiwa kupewauraia na nchi husika ili aishi kwa amani na haki zote za kufanya kazi kusoma nkTanzania inamwambia "ukija hapa wewe ni mgeni", ukija kumuona mamaama baba yako ama kuendeleza nyumba yako unayojenga kijijini kwenu kule Butiamaama chalinze basi lipa kiingilio (visa)!!.
Watanzania walioko nje hawako nje sababu hawaipendi Tanzaniana anayefikiria hiyo atakuwa anakosea, Tanzania iko damuni daima na hataserikali ingeweza ingeruhusu tukatengeneza system ya kupiga kura katika balozizetu wakati chaguzi kuu zinapowadia.
Wawakilishi wa vyama vya siasa na taasisi mbalimbali katika bunge hili mliopewaheshima ya kurekebisha katiba tunawaomba kuangalia na kuingiza swala hilikatika katiba mpya, Mheshimiwa Benard Membe amekuwa akisikiliza na kwa makinikilio hiki cha watanzania walioko nje, pia mheshimiwa Dr Kikwete amekuwaakikumbana na hili ombi kila wakati akikutana na watanzania waishio nje, katikakikao chake cha mwisho na watanzania Uingereza pale Wembley Mheshimiwa Raisialisema swala hili limeingizwa kwenye rasimu kwahiyo liko ndani ya bungekujadiliwa, napenda kumpongeza Mh Dr Kikwete kwa kutambua kilio hicho mpakakumteua Singo kuwakilisha diaspora (Thank you Mr President) katika kikaohicho.akasisitiza ni juu ya Diaspora wenyewe kulisema maana wajumbe wa katibahili si muhimu kwao kwa hiyo lisiposemwa na kuingizwa mawazoni mwao wanawezawasiangaike nalo.
Sababu kwa walio wengi swala hili si muhimu kwao huko bungeni, tunaomba mfunguemacho na kulipa umuhimu. mnapojadili mjue mnamuongelea Masatu, Juma, Asha,Owino, Yasunta, Mwanahamisi, Omari na wengine wengi ambao huko waliko japo wamepewauraia lakini wanahesabiwa kama wageni hawatakubalika kama wenyeji au wazawa wanchi hizo, na wala hawapendwi kwa dhati, mjue mnamjadili mtu ambaye anapokujaTanzania sio kuchuma kidogo kilichopo ama kujifunza Kiswahili na mila zaTanzania la hasha mnajadili maisha ya Mtanzania amabaye amewaachia watanzaniawenzake nafasi za ajira Dar , Mwanza ama Ndada na kwenda kutafuta huko nje yanchi na anachopata japo kidogo lakini anakula na wakwao WA-TANZANIA.
Mungu ibariki Tanzaniayetu.
Peter Owino