Wanabodi Wasalaam,
Ni dhahiri kuwa Watanzania waliowengi hawajui kusoma, kuandika na kuhesabu ( kkk) .
Nimeshuhudia wengi wa waliopiga kura kijijini kwangu walisaidiwa kuandikiwa tiki yao kwa waliowachagua.
Katika hali kama hii je watu hao walitoa sauti yao? Je ilisikika? Yaani je waliwezeshwa kuchagua waliowataka?
Je waliweza Hata kuwafahamu wagombea au waliburuzwa tu na ndugu ambao walifanya machaguzi yao na si kutoa msaada?