Tanzania mkongwe na kinara wa demokrasia maziwa makuu

Viashiri
. Uhuru wa kujieleza na kukosoa
.Usimamizi na udhibiti wa Uchaguzi mkuu
.Ruhusa za maandamano ya amani
.Ruhusa ya midahalo ya kisiasa, kijamii na kiuchumi kupitia vyombo vya habari
 
Na hasa zanzibar ndiyo kinara zaidi
Angalia dhana nzima ya demokrasia acha upoyoyo hapo we mkwepa kodi na acha kuleta hisia mbaya tujadili kwa upande na references za nchi za maziwa makuu ijue demokrasia mkuu wangu
 
Tukijadili dhana hii references iwe nchi za maziwa makuu na ole wake atakae tumia vibaya mjadala huu lazima tujipende na tujiproud nani atatusifia
 

Attachments

  • Tanzania Flag Pictures1.jpeg
    Tanzania Flag Pictures1.jpeg
    58.1 KB · Views: 30
Labda Tanganyika kwa kuilinganisha na Uganda tena kwa kuwa tu ccm wameamua nchi waongoze wao na wapinzani wanaamua kumuachia Mungu, ila kiuhalisia si kweli kabisa.
 
Kuwa wa kwanza katika eneo la Maziwa Makuu (DRC, Uganda, Burundi, Rwanda, nk), ni sawa na kuwa wa mwisho barani Afrika.
 
Back
Top Bottom