Tanzania miaka ijayo

Not under the independence party!
 
Hali ya hewa kwa Mikoa kama Dar ni hatari sana kujenga hizo train za chini.

Labda ziwe za juu au ukajenge Dodoma maana huko kuna ukame na mvua si nyingi.

Ulishawahi kusikia mafuriko Dodoma? Dar, Pwani...... ni kawaida.

 
Mambo ya Platform na Subway.

Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…