Tanzania: Matatizo makubwa siku za usoni

Sijali

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
2,586
1,678
Licha ya matatizo yanayojulikana ambayo yataendelea kuwa mwiba katika nyonga ya Tanzania hapo mustakbali, matatizo kama- umaskini, uduni wa elimu,kupanuka kwa tofauti za kitabaka nk, matatizo haya yatapelekea kwenye kufanya maisha Tanzania Jahanumu.

1- Ongozeko kubwa la idadi ya watu
Kwa kweli hili linakuwa tatizo pale inapokosekana mipango ya kuandaa mustakbali. Kama serikali haijengi shule zaidi hivi sasa kwa kukadiria itakavyokuwa idadi ya wanafunzi mwaka 2030, basi inapofika mwaka huo linakuwa hilo ni tatizo. Ama kwa serikali zenye mipango ya mustakblai, kuzidi kwa watu ni neema, kwani kunasababisha uzalishaji zaidi. Tanzania haina ramani ya mustakbali.
2-Uchafuzi wa mazingira
Hasa kutokana na shughuli za uchimbaji madini. Tani kadha wa kadha za madini ya zebaki yanayotumiwa kwa kusafishia dhahabu zinaingia katika vianzo vya maji ya chini kwa chini. Uchimbaji wa kiholela wa Uranium utaleta madhara yasiyo kadirika
3- ?????????
 
download
 
(3) Serikalini ya ccm ikiongezewa awamu nyingine kuongoza nchi
.
 
Back
Top Bottom