Hii haikuwa ni kwa ajili ya wakenya tu, kuna watanzania wengi walipinga ili swala mi nikiwa mmoja wao. Nilisaini petiton kupitia internet, na niliwashawishi watu wengi kusaini pia. Sio kila kitu tu mlete ushabiki, kama mnataka mawasiliano ya kweli kwanini hamtengezi barabara ya mtawara? Acheni uharibifu wa mazingira.