Hapa imeongelewa credit reference bureau ambayo si kazi yake kukopesha.Hii ni positive news kwa Tanzania kuwa na Credit Reference bureau halafu wewe unakuja kuharibu kwa kuchanganya na siasa pamoja na kuwatisha watu kuhusu mikopo.Kesi ya Ugiriki na Hispania ni tofauti kabisa na sisi au any other third world country.Tanzania inahitaji zaidi indigenous investors kuliko foreign investors.Hatuwezi kuwekeza bila mikopo.Acha woga na siasa za kulink everything to siasa.WABONGO Tujichunge na hizi CREDIT LENDING Co... Tusikope mpaka tukawa kama GREECE; SPAIN; PORTUGAL Na nchi zingine za Magharibi... Kutegemea UCHUMI wa VIPLATIKI (CREDIT CARDS) Angalia tuchunge sana ARDHI YETU; MALI GHAFI ZETU... Tuhakikishe tunaondoa Mawazo ya CCM Imepotoka... Imeuza Makampuni yote ya serikali ili wafanyakazi wawe wanazurura na kulipwa kiwango cha chini... CAPITALISM in MAKING...
Hapa imeongelewa credit reference bureau ambayo si kazi yake kukopesha.Hii ni positive news kwa Tanzania kuwa na Credit Reference bureau halafu wewe unakuja kuharibu kwa kuchanganya na siasa pamoja na kuwatisha watu kuhusu mikopo.Kesi ya Ugiriki na Hispania ni tofauti kabisa na sisi au any other third world country.Tanzania inahitaji zaidi indigenous investors kuliko foreign investors.Hatuwezi kuwekeza bila mikopo.Acha woga na siasa za kulink everything to siasa.
Mkuu mbona umetoka nje ya mada yako? Ok hiyo ni database ya wakopaji,mabenk watambue nani kakopa wap na shg gapi? So itaasaidia kuwabana wakopaji fake that's allWABONGO Tujichunge na hizi CREDIT LENDING Co... Tusikope mpaka tukawa kama GREECE; SPAIN;
PORTUGAL Na nchi zingine za Magharibi... Kutegemea UCHUMI wa VIPLATIKI (CREDIT CARDS)
Angalia tuchunge sana ARDHI YETU; MALI GHAFI ZETU... Tuhakikishe tunaondoa Mawazo ya CCM
Imepotoka... Imeuza Makampuni yote ya serikali ili wafanyakazi wawe wanazurura na kulipwa kiwango cha
chini... CAPITALISM in MAKING...
we umesoma vizur sana ila kwa bahati mbaya hujaelewa vizuri pole ndio matatizo ya kop and pestiSoma Vizuri - Kazi ya hiyo Kampuni - Iko huku kwetu...
Hamna cha kwetu wala kwao,kazi ya credit reference bureau si kutoa mikopo.Au wewe ulivyoona credit basi uka-conclude kuwa ni watoa mikopo?Ni bora tukopeshane ndani kwa ndani kuliko mikopo ya kutoka nje...Soma Vizuri - Kazi ya hiyo Kampuni - Iko huku kwetu...
kuweza kulipa mikopo ya bank za tanzania labda uwe muuza bangi riba kubwa sana-maneno ya J.K.Nyerere
WABONGO Tujichunge na hizi CREDIT LENDING Co... Tusikope mpaka tukawa kama GREECE; SPAIN;
PORTUGAL Na nchi zingine za Magharibi... Kutegemea UCHUMI wa VIPLATIKI (CREDIT CARDS)
Angalia tuchunge sana ARDHI YETU; MALI GHAFI ZETU... Tuhakikishe tunaondoa Mawazo ya CCM
Imepotoka... Imeuza Makampuni yote ya serikali ili wafanyakazi wawe wanazurura na kulipwa kiwango cha
chini... CAPITALISM in MAKING...
Sijui umeandika nini mkuu
Soma vizuri habari halafu ujipange uje kivingine.
we umesoma vizur sana ila kwa bahati mbaya hujaelewa vizuri pole ndio matatizo ya kop and pesti
Hamna cha kwetu wala kwao,kazi ya credit reference bureau si kutoa mikopo.Au wewe ulivyoona credit basi uka-conclude kuwa ni watoa mikopo?Ni bora tukopeshane ndani kwa ndani kuliko mikopo ya kutoka nje...
Sijui umeandika nini mkuu
Soma vizuri habari halafu ujipange uje kivingine.
Come on bro,unachanganya mambo credit reference bureau haihusiani na credit card.Hawa wanaongelea zaidi business loans ambazo hazitolewi kwa credit card...kuna mkopo wa biashara unatolewa kwa credit card?Fanya hivi jaribu hata kugoogle credit reference bureau uone maana yake na kazi zake.Nchi dogo kama Rwanda kwa sababu ya kuwa serious na investment walikuwa na credit reference bureau licha ya udogo wa uchumi wako.Tanzania na Burundi ndizo zilikuwa hazina credit bureau.Man... Wanataka Wananchi wawe wanakopa kwa kutumia CREDI CARDS... tuingie CARD WORLD like other EUROPEAN Nations,,, Tuna Mali hayo MAFUTA drug the western nation crazy... Wananchi hatuna Madeni kama Wananchi wa GREECE... read below ,,. Msiwe kichwa ngumu na kuangalia ni vizuri... "Access to individual or company's credit history reduces incidences of institutions lending to habitual defaulters," said Juma Reli, deputy governor at the central bank.
Hio database isiyo na picha za mhusika,historia ya amana zake fingerprints itakuwa si database...unaweza kubadilisha jina lakini sidhani kama unaweza kubadilisha bank statements zako za nyuma na cashflow statements vitu ambavyo ni muhimu kwenye kupewa mkopo.Halafu mkopo si kwa watu binafsi tu,kuna makampuni,Saccos na pia partnerships....hawa ni vigumu kubadilisha majina.Tusipende kulink kila kitu na siasa za ufisadi.Huu wimbo wa ufisadi unakera sana kwa nini tusizungumzie issues bila kuweka siasa za ufisadi.Ufisadi ni kama constant factor kwenye nchi za Afrika kwa hio isiwe main issue ya kutuzuia kuzungumzia issues bila kuchanganya ufisadi.Mleta mada kashindwa kuielewa mada yake, anafikiri Credit ref bureau kazi yao ni kutoa mikopo, wacha tukufahamishe; kazi ya credit ref ni ku-keep data base(Information) ya watu ambao wana record mbaya aither alishawai kukopa huko nyuma toka benki nyingine au anahstoria mbaya kuwa akikopa alipi au analipa kwa tabu. Benki wanapo jua historia ya mteja inakuwa raihisi kwa benki kufanya uamuzi wa usalama Tatizo lililopo hapa kwetu, hii credit ref Beruau bado riski kwa mabenki itakuwa kubwa, kwa sababu mteja anauwezo wa kubadilisha jina aither kuchukua paspoti au kitambulisho chingine na kuanza kuomba mikopo mingine kwa kutumia majina tafauti Kwa sababu hii bado benki za tanzania ziko kwenye riski kubwa, tusitegemee kuwa kiwango cha riba kitashuka hivi karibuni, mpaka wa TZ wache ufisadi wa kugawa pass na vitambulisho kwa rushwa