Arcad Atmos
Member
- Apr 18, 2013
- 33
- 0
Tanzania katiba sio tatizo.iliyokuweko ilikua inatosha sana hadi kwa wakati huu.Tatizo ilikosa usimamiaji wa kweli kiasi kwamba kikatokea kipengele maarufu (hekima) kwakuficha uovu au kuipindisha katiba na sheria.
Kama wazanzibari hawataki muungano kwanini Tanganyika inawang'ang'ania?
Kama mtu kaamua kuchukua Uraia wa nchi nyingine kwanini aendele Kuwa Mtanzania?
Kama mtu anashindwa kuendana na matakwa ya chama,anawezaje kuendana na katakwa ya wananchi ambao hao ndio wenye vyama vya siasa.kumbe mgombe binafsi ni hatari,hafai anaweza kuuza nchi bila hata Kuwa na wakumpinga.
Napata mgagasiko tonapoitaka katiba mpya kwanguvu kiasi kwamba tunashindwa kuona mambo mengine ya maana kama ile Sera yetu ya kilimo kwanza,au kushindwa kufwatilia mfumo mbovu wa elimu ambao sasa tuna Big result now(BRN).ufaulu wa Makaratasi bila chochote kichwani.Yaani haiingi akilini ufaulu kuongezeka kwa kiasi kikubwa ndani ya mwaka mmoja.
Huku jana tu jeshi la polisi na jeshi la wananchi wa Tanzania wakipigana duu.
Yaani usalama wa nchi kama hii ni majanga.askari hawana nidhamu,chombo chakulinda amani kinawatu wasioelewa nafasi yao ktk jamii.Sijui hii ni nchi ya namna gani?
Sasa wewe kaa vijiweni na mitandao yakijamii ukijadili katiba mpya huku wenzako wakipiga hela.Kwani inamaana siku hizi tembo hawauliwi,madawa ya kulevya je hayasafirishwi?
Vyombo vya habari vyote vipo bungeni kwenye michezo ya kuigiza huku watu wakifanya yakwao.
Nachukua fursa hii kuwaambia watanzania wenzangu msikubali kuwa mafala kiasi hichi,
Amka wewe ni mtu muhimu sana ktk nchi hii.
Fanya kitu sahihi kwaajili yako na Tanzania
Ni mimi Mtanzania mwenzako Arcad.