Habari wana jf,leo katika taarifa ya habari za michezo pamoja na kwenye baadhi ya magazeti kuna taarifa kuwa zile sh.milion saba timu ya wanawake ya Twiga walizochangiwa na timu ya wabunge zimechakachuliwa na TFF kupitia meneja wa timu ya wanawake, wachezaji wametishia kugomea mchezo wao na Namibia,Watanzania tutafika kwa hali hii kweli!!!!!!!!