Al Zagawi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2009 Posts 2,528 Reaction score 1,623 May 21, 2011 #21 FaizaFoxy said: Mbona sio natural? nywele za kizungu, rangi ya kiarabu? au kachangia? Click to expand... inategemea na mtazamo dada.. 'natural' au 'not natural' ni subjective to my understanding....labda niulize hivi binadamu kuvaa nguo ni natural? maana hakuna aliyezaliwa akiwa amevaa nguo:biggrin1:
FaizaFoxy said: Mbona sio natural? nywele za kizungu, rangi ya kiarabu? au kachangia? Click to expand... inategemea na mtazamo dada.. 'natural' au 'not natural' ni subjective to my understanding....labda niulize hivi binadamu kuvaa nguo ni natural? maana hakuna aliyezaliwa akiwa amevaa nguo:biggrin1:
M MZAWATA JF-Expert Member Joined Feb 10, 2011 Posts 556 Reaction score 96 May 22, 2011 #22 wa kawaida sana kaka, hana jipya. hata mke wangu ni mzuri mara mia kuliko huyu... bt sikulaumu kaka