Tanzania kuuza gesi katika soko la dunia

Eti solo la dunia.Watawala wetu kazi kweli kweli.Hivi Tanzania hakuna wateja mpaka mkaiuze nje?Soko la 50 million customers ni kubwa sana,litumieni effectively.Misitu inaisha ninyi mnaongelea soko la dunia.Punguzeni bei ili wananchi wamudu,hata ikibidi kwa kuweka susidy.Siilewi nchi hii.Gas tunaisikia tu kwenye bomba,haina maana yeyote kwetu.Bei ya umeme nayo ndio inazidi kupaa.I am confused.

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta Ewura Felix Ngamlagosi.

Tanzania ina gesi asilia ya kujitosheleza na ya ziada na hivyo inaangalia namna ya kuiuza gesi hiyo katika soko la dunia.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta Ewura Felix Ngamlagosi jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya gesi uliondaliwa na mamlaka hiyo.

Ngamlagosi amesema mazungumzo yanaendelea kwa sasa kati ya serikali na wadau mbalimbali kutafuta namna bora na wapi pa kuwekeza katika viwanda vya kusindika gesi na kuipeleka katika masoko ya dunia.
 
Acheni upuuzi,gesi yetu au ya wazungu na wachina?umeme bei juu na keshokutwa bei inapanda. ..hivi mnatuona sisi maf.ala au!!
Si jawahi kuona koment za kipuuzi duniani kama hii. Mtu unashindwa kutofautisha siasa na uhalisia. Kwani kuuza gesi ni shida. Urusi inauza gesi kwa marekani lakini unajua bei ya gesi Russia. Ama umeamua tu kuongea fanya katafiti kidogo na muache upuuzi wa kupinga kila kitu.
 
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta Ewura Felix Ngamlagosi.

Tanzania ina gesi asilia ya kujitosheleza na ya ziada na hivyo inaangalia namna ya kuiuza gesi hiyo katika soko la dunia.

Kauli hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya udhibiti wa Nishati, Maji na Mafuta Ewura Felix Ngamlagosi jana jijini Dar es Salaam katika mkutano wa wadau wa sekta ya gesi uliondaliwa na mamlaka hiyo.

Ngamlagosi amesema mazungumzo yanaendelea kwa sasa kati ya serikali na wadau mbalimbali kutafuta namna bora na wapi pa kuwekeza katika viwanda vya kusindika gesi na kuipeleka katika masoko ya dunia.
Miundimbinu bado jaman hata sisi tu watanzania hatujaweza kutumia wote
 
Bora ndoto ya lema inaweza kutimia,lakini sio ndoto hii.
 
Haitaweza. Narudia tena haitaweza.

Kwa sasa bei ya gas duniani iko kwenye wastani wa 3.5~3.7Us $/mmbtu akati bei ya gas ya sasa kwa Tanzania ni around 5.2Us $/mmbtu. Ambapo Tanzania Wanauza gas kwa asilimia 30 zaidi ya bei ya dunia. Sasa wanunuzi watatoka wapi. Si bora wakanunue kwa hao wanauza 3.5 Us $/mmbtu badala ya kunua gas ya Tanzania. EWURA wanatakiwa kufunguka akili na kufikilia nje ya box. Lasivo tutaishia kujisifia kuwa tuna gas isiyo leta maendeleo kwa wa Tanzania

Quandl
 
Eti solo la dunia.Watawala wetu kazi kweli kweli.Hivi Tanzania hakuna wateja mpaka mkaiuze nje?Soko la 50 million customers ni kubwa sana,litumieni effectively.Misitu inaisha ninyi mnaongelea soko la dunia.Punguzeni bei ili wananchi wamudu,hata ikibidi kwa kuweka susidy.Siilewi nchi hii.Gas tunaisikia tu kwenye bomba,haina maana yeyote kwetu.Bei ya umeme nayo ndio inazidi kupaa.I am confused.
Tanzania gas asilia inauzwa kwa 30% zaidi ya bei ya soko la dunia. Nani atanunua hii gas. Au wanadhania inazalishwa Tanzania pekeyake
 
Haitaweza. Narudia tena haitaweza.

Kwa sasa bei ya gas duniani iko kwenye wastani wa 3.5~3.7Us $/mmbtu akati bei ya gas ya sasa kwa Tanzania ni around 5.2Us $/mmbtu. Ambapo Tanzania Wanauza gas kwa asilimia 30 zaidi ya bei ya dunia. Sasa wanunuzi watatoka wapi. Si bora wakanunue kwa hao wanauza 3.5 Us $/mmbtu badala ya kunua gas ya Tanzania. EWURA wanatakiwa kufunguka akili na kufikilia nje ya box. Lasivo tutaishia kujisifia kuwa tuna gas isiyo leta maendeleo kwa wa Tanzania

Quandl
Hapo chini kuna link inayo onyesha average price ya natural gas Duniani
 
Bongo kwenyewe umeme hauko stable, na pia hautoshelezi. Sasa leo tunapiga hesabu za kuuza gas nje wakati gas yenyewe haina msaada Tanzania, me naamini kabisa hii gas kama itasambazwa vizuri ndani ya Tanzania na ikafika kila mahali from mtwara no north, lake zone nk inaweza ikatupatia mapato makubwa sana ya ndani na baada ya hapo ndio tufikiri kuexport..
 
Tutaongeza Boeing mpya za new gen 4 kwa ajili ya kuleta watalii Na wawekezaji.........
Ningekuwa rais ningejenga bwawa moja matata la kuzalisha umeme kama lililozinduliwa majuzi huko Ethiopia. Yaani maengiza zaidi a megawt 400 kwenye grid yao
 
Bongo kwenyewe umeme hauko stable, na pia hautoshelezi. Sasa leo tunapiga hesabu za kuuza gas nje wakati gas yenyewe haina msaada Tanzania, me naamini kabisa hii gas kama itasambazwa vizuri ndani ya Tanzania na ikafika kila mahali from mtwara no north, lake zone nk inaweza ikatupatia mapato makubwa sana ya ndani na baada ya hapo ndio tufikiri kuexport..
Gharama ya umeme iko juu kwasababu hatujawekeza kwenye miundo mbinu ya kuzalisha umeme. Kama gas ni yetu tunanunua zaidi ya wasatan wa gas kwenye soko la dunia kwanini umeme usiwe shida?
 
Umeme bei juu, Gesi ya kupikia bei juu..

Mpaka sasa gesi haijatunufaisha.
 
Si jawahi kuona koment za kipuuzi duniani kama hii. Mtu unashindwa kutofautisha siasa na uhalisia. Kwani kuuza gesi ni shida. Urusi inauza gesi kwa marekani lakini unajua bei ya gesi Russia. Ama umeamua tu kuongea fanya katafiti kidogo na muache upuuzi wa kupinga kila kitu.
Tunauza gesi ya nani?unajua bei ya petrol ilikuwa bei gani libya wakati wa utawala wa libya?kwa akili yako kwa vile gesi inauzwa bei ghali russia na sisi tuige huo ujinga...eti umefanya utafiti!!!toa ujinga wako hapa.
 
Nchi ya majuha a.k.a Kufikirika au Kusadikika!
Viwanda hamjajenga hata kimoja sasa hiyo gasi mnaichakata kwa meno???
Utawala huu kila siku na matamko na ndoto za Alnacha!!
 
Back
Top Bottom