NZURI PESA
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 5,958
- 2,967
sawa mkuuNgoja wajuzi waje....
sawa ndugu nawasubiri
kukaa kwangu Tanzania si ndo kujua kila kitu kilichopo Tanzania mkuu.iwapo unafahamu nijilushe tu.nijueWw unaonaje kwa mfano. Hukai Tanzania nn?!
watu hao ndo huitwa wa kujitegemea,?Wapo watu wasiojulikana
sent from my iPhone 6
afadhali tusubiri pamoja mkuuNgoja nisuburie wajuzi wa mambo na mimi
Pilato 007
ahsante mkuu.nilikwenda kijiji fulani kwa mapumziko mafupi ndo katika maongezi mwenyeji wangu akaniuliza "hivi kuna askari wa kujitegemea"?kuna jamaa hapa ni mgeni anasema "yeye ni askari wa kujitegemea" HIYO NDO SABABU YA MIMI KUULIZA ILI KUJUA UKWELI WA HILI KAMA TUNAO WA AINA HIYO.Askari wa kujitegemea ukimaanisha nini mkuu?
Ukishasema ASKARI nafikiri moja kwa moja unakuwa umewahusisha vyombo vyetu vya Ulinzi na Usalama nchini.
Kama ulimaanisha walinzi (Private Bodyguards) sidhani kama wapo rasmi kutokana na mfumo wa nchi yetu katika masuala ya ulinzi na usalama wa Raia na Taifa kwa ujumla.
MGAMBOHabari zenu wana jukwaa.kama kichwa cha mada kinavyo jieleza
hapo juu.HIVI TANZANIA TUNA ASKARI WA KUJITEGEMEA?
naomba kufahamishwa kwa yeyote anaye fahamu kuhusu hilo.
NATANGULIZA SHUKRAN
sent from my xtigi universal chager
ahahahaaaa! yu med mai deiWapo watu wasiojulikana
sent from my iPhone 6
Tuko pamoja sana mkuu. Huyo atakuwa tapeli tu.ahsante mkuu.nilikwenda kijiji fulani kwa mapumziko mafupi ndo katika maongezi mwenyeji wangu akaniuliza "hivi kuna askari wa kujitegemea"?kuna jamaa hapa ni mgeni anasema "yeye ni askari wa kujitegemea" HIYO NDO SABABU YA MIMI KUULIZA ILI KUJUA UKWELI WA HILI KAMA TUNAO WA AINA HIYO.
mbona MGAMBO! SI ANGESEMA MGAMBO?ILA HANA MUONEKANO WA TUSAMINIWE a.k.aMGAMBO WA MAKAMPUNI BINAFSIMGAMBO
SAWA MKUU AWEZAKUWA TAPELI AU VINGINEVYO PIATuko pamoja sana mkuu. Huyo atakuwa tapeli tu.
Wapi mkuu nijulishe na ofisi zao za wilaya,mkoa na taifa nifatilie na hukoWapo