Tanzania kipofu!

Godfreymwasubila

Senior Member
Apr 13, 2013
108
8
Du! Wakuu Hakuna Kitu Kinachonishangaza nchi hii jinsi tunavouabudu ukoloni mambo leo!tena bila hata haya. Viongoz wetu,vyombo vya habari na hata taasis mbalimbali wote huonekana wakisujudu! hasa pale kukiwa na kiongoz kutoka nchi fulani kubwa bac tutashuhudia viongozi na vyombo vngne vya nchi vikihaha kwelikweli! HOJA: Ivi Kuna Umuhimu Gani Kwa TELEVISION YA TAIFA[T.B.C],Kurusha Kipindi Maalum Kwa Ajili Ya raisi wa U.S.A [OBAMA] na ilhali BARAKA anatembelea tanzania kwa manufaa ya nchi yake! anakuja TANZANIA to look 4 potential areas. Ni Kwa Nini T.B.C, wasiandae kipndi maalum kwa ajili kumfundisha kjana kuhusiana na uzalendo kwa nchi yake,na jinsi ambavo anaweza kuzitumia resources zilizopo kwa manufaa yake na taifa kwa ujumla? tunabaki tunashabkia wanyang'anyanyi wa mali zetu! du! tutafka kweli?
 
Umesema kweli kaka lakini ujue kwamba wanachokifanya TBC ni Ulimbukeni Nyerere aliwahi kusemakwamba mtu ana almasi afu akaja tapeli akamwambia hiyo si almasi ila ya kwake ndo almasi ya kwake na jamaa akambadilishia akampa chupa inayong'aa kama almasi afu jamaa ataondoka hapo akiruka ruka kama ZUZU!!!!!!

Sasa huu ndo uzuzu mtu anatupeleka wenyewe kwenye mdomo wa mamba tutafunwe afu watu wazima ana akili zao wanashangilia kama mazuzu ndo ujue safari hii ni ndefu,

Mambo mawili ya msingi hapo ni:-
1. Kufungwa kwa mgodi wa Tulawaka-Jmaa wameondoka na dhahabu lakini watanzania wamebaki na mashimo na uchafuzi wa mazingira na wakati huohuo serikali inahaha na bajetu uchwara,
2. Kufungwa kwa mgodi wa Resolute kwa Kigwangala naye anapiga vubuzela eti watu wachangie mawazo ya mstakabali wa taifa wakati amekaa kimya wawekezaji wanaondoka na dhahabu bila hata kulipia mrahaba kwa halmashauri ya Nzega.

Ndugu yangu tukiendelea kuwa chini ya CCM tujue tutaangamia,
 
Back
Top Bottom