Kwa asili kuna wakati hutokea kutokana na ushindani wa asili katika maisha,fafanua zaidi,kwani imani yenu sii ushindani ila uadui,na sii wa asili ila wakupandikizwa,uongo uongo.Ama na sema uongo ndugu zangu.Dogo, alichokisema mtoa uzi is naturally happening due to the theory of nature of the survival of the fittest!